Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa Simba kwa msimu nilioutaja hapo juu, ambapo kulikuwa na Mechi ya Derb kati ya Simba na Yanga huku Simba akiwa Mwenyeji, Alifuatwa na Viongozi wa BMT na TFF wakiomba Simba ikubali Mabadiliko ya Ratiba ya Derb kutoka Saa 11 jioni na badala yake ichezwe saa moja usiku, huku akisema sababu ni Rais wa wakati Huo Mh. Samia alitaka kushuhudia mechi hiyo lakini kwa muda wa saa 11 jioni alikuwa na shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Rais Mwinyi cha historia yake hivyo akasema Kama inawezekana mechi isogezwe hadi saa moja usiku, kwakuwa Kauli ya Rais ni Sheria basi ilibidi TFF na BMT watekeleze ombi hilo ambalo Kwa nafasi ya Uraisi ni Amri na Si Ombi. Simba ilikubali Ombi hilo japo amekiri lilikuwa ni uvunjifu kwa kanuni.

TFF na BMT hao hao, walipowafata Yanga , Yanga walikataa maelekezo na ombi hilo, na walifuata kanuni na kugomea mchezo huo.

Mh. Muhina Kaduguda ameenda mbali zaidi na kusema hata huu usitishwaji wa derb kwa sasa uliofanyika inawezekana kuna nguvu kubwa na wanasiasa nyuma ya Pazia ambayo imewekwa ni Siri kubwa, na labda miaka ijayo tutakuja kujua ukweli. Kwa namna hii inaonesha Dhahiri Mpira wetu unaingiliwa sana na siasa na vyombo vya usimamizi TFF na Bodi ya Ligi vimekaa pale wakati wanaofanya maamuzi ni wana siasa.

Link hii hapa msikilize kaduguda mpaka mwisho

View: https://www.youtube.com/watch?v=AqXWtfQhsAo
 
Na hii ya juzi aseme tu ukweli timu yake ya simba ilikimbia kichapo. Sidhani kama kuna sababu nyingine yenye mashiko ya kususia ile mechi.
 
Mengi yatasemwa ....!

Ila bodi imesema kwa mwaka huu hakutakuwa na points za Mezani labda mtu ajitakie mwenyewe kwa kutokupeleka timu uwanjani tarehe ikipangwa tena..!
 
Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa Simba kwa msimu nilioutaja hapo juu, ambapo kulikuwa na Mechi ya Derb kati ya Simba na Yanga huku Simba akiwa Mwenyeji, Alifuatwa na Viongozi wa BMT na TFF wakiomba Simba ikubali Mabadiliko ya Ratiba ya Derb kutoka Saa 11 jioni na badala yake ichezwe saa moja usiku, huku akisema sababu ni Rais wa wakati Huo Mh. Samia alitaka kushuhudia mechi hiyo lakini kwa muda wa saa 11 jioni alikuwa na shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Rais Mwinyi cha historia yake hivyo akasema Kama inawezekana mechi isogezwe hadi saa moja usiku, kwakuwa Kauli ya Rais ni Sheria basi ilibidi TFF na BMT watekeleze ombi hilo ambalo Kwa nafasi ya Uraisi ni Amri na Si Ombi. Simba ilikubali Ombi hilo japo amekiri lilikuwa ni uvunjifu kwa kanuni.

TFF na BMT hao hao, walipowafata Yanga , Yanga walikataa maelekezo na ombi hilo, na walifuata kanuni na kugomea mchezo huo.

Mh. Muhina Kaduguda ameenda mbali zaidi na kusema hata huu usitishwaji wa derb kwa sasa uliofanyika inawezekana kuna nguvu kubwa na wanasiasa nyuma ya Pazia ambayo imewekwa ni Siri kubwa, na labda miaka ijayo tutakuja kujua ukweli. Kwa namna hii inaonesha Dhahiri Mpira wetu unaingiliwa sana na siasa na vyombo vya usimamizi TFF na Bodi ya Ligi vimekaa pale wakati wanaofanya maamuzi ni wana siasa.

Link hii hapa msikilize kaduguda mpaka mwisho

View: https://www.youtube.com/watch?v=AqXWtfQhsAo

Je ni kweli kuwa Rais alihudhuria kuangalia mchezo huo kwa masaa hayo?
 
Na hii ya juzi aseme tu ukweli timu yake ya simba ilikimbia kichapo. Sidhani kama kuna sababu nyingine yenye mashiko ya kususia ile mechi.
Akili za uto bhana,mechi imehairishwa ulitaka twende uwanjani ili iwe nini?ili tufanane na utoto wenu wa kupeleka wachezaji uwanjani kwa mkapa na mo arena?ukisikia mambo meusi ndiyo hayo sasa!
 
Na hii ya juzi aseme tu ukweli timu yake ya simba ilikimbia kichapo. Sidhani kama kuna sababu nyingine yenye mashiko ya kususia ile mechi.
Kama mabaunsa wenu wanapiga mashabiki wanapohojiwa baada ya uto kupata matokeo mabaya na uto kutokemea , je unaweka dhamana vipi kwamba mabaunsa wa uto hawakuzuia mazoezi ya simba?
 
Back
Top Bottom