Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

Kama mabaunsa wenu wanapiga mashabiki wanapohojiwa baada ya uto kupata matokeo mabaya na uto kutokemea , je unaweka dhamana vipi kwamba mabaunsa wa uto hawakuzuia mazoezi ya simba?
Ni Tanzania tu unaweza kuongea hivi na wasio na akili wakakuunga mkono. Mabaunsa wanawazidije uwezo Polisi àmbao walisindikiza gari la Simba Hadi uwanjani na wengine wakatoka Polisi Chang'ombe kuja kuangalia kama kuna tatizo? Kamanda Muliro alijinasibu Usalama ni kipaumbele kwenye hiyo Mechi na akatoa kauli "Mtu asije na matokeo yake mfukoni",' aliachaje Wahuni wanaoitwa Mabaunsa waizuie Simba isifanye mazoezi kama ilikuwa pale kihalali?
 
GENTAMYCINE unakumbuka nilidokeza hii habari kwenye thread yako kuhusu mgeni rasmi wa derby ikipangwa tarehe nyingine?

Uliuliza mgeni rasmi akiwa huyo kiongozi Yanga watagoma kupeleka timu?

Nikajibu wanaweza sababu walishafanya hivyo.

Yanga ni taasisi kubwa kuliko kiongozi yeyote sababu kiongozi anapewa uongozi na wananchi. Viongozi wa Yanga wenyewe wanaogopa wananchi wenye timu yao. Hao wakisema hatuchezi kweli viongozi hawapeleki timu uwanjani.
Yanga ndiyo timu ya wananchi, siyo ya tajiri wa kihindi na 20B zake.
 
Weka picha zao basi tuwaone, maana mnawasifia kweli kwa kuwatembezea kichapo na pia kuwazuia kuingia uwanjani.
 
GENTAMYCINE unakumbuka nilidokeza hii habari kwenye thread yako kuhusu mgeni rasmi wa derby ikipangwa tarehe nyingine?

Uliuliza mgeni rasmi akiwa huyo kiongozi Yanga watagoma kupeleka timu?

Nikajibu wanaweza sababu walishafanya hivyo.

Yanga ni taasisi kubwa kuliko kiongozi yeyote sababu kiongozi anapewa uongozi na wananchi. Viongozi wa Yanga wenyewe wanaogopa wananchi wenye timu yao. Hao wakisema hatuchezi kweli viongozi hawapeleki timu uwanjani.
Yanga ndiyo timu ya wananchi, siyo ya tajiri wa kihindi na 20B zake.
Thubutu / Thubutuni sawa? Endeleeni kukariri kuwa kila Siku watu wa CCM au Rais wa nchi ni mwana Yanga SC wenu Ok?
 
Ha haaa 🤣
Ila na nyie fanyeni mpango kanjubhai aongeze pesa.
Ile timu kubwa sana kuliko 20B.
Ukitaka kujua ukubwa wake mmekimbia derby na mechi imehairishwa badala ya kuacha mgome mkatwe pointi 15 na kushushwa daraja.
 
Team zote za kariakoo zinamilikiwa na wao---zaidi ya asilimia 50. Hakuna mwekezaji atapewa hizi team hata siku moja kwa hiyo wataamua wanavyojisikia na game zitachezwa tu, tickets kadhaa mtanunuliwa, masisha yataendelea.

kama unataka team, chukua viteam vya mkoa, wekeza. Ila mwekezaji yoyote anapewa tu platform ya kujitangaza kibiashara na asilimia kadhaa za umiliki, ila hakuna ambaye anagusa hata 35%.

Kuna siku mtanielewa.-Mdau kutoka PM
 
GENTAMYCINE unakumbuka nilidokeza hii habari kwenye thread yako kuhusu mgeni rasmi wa derby ikipangwa tarehe nyingine?

Uliuliza mgeni rasmi akiwa huyo kiongozi Yanga watagoma kupeleka timu?

Nikajibu wanaweza sababu walishafanya hivyo.

Yanga ni taasisi kubwa kuliko kiongozi yeyote sababu kiongozi anapewa uongozi na wananchi. Viongozi wa Yanga wenyewe wanaogopa wananchi wenye timu yao. Hao wakisema hatuchezi kweli viongozi hawapeleki timu uwanjani.
Yanga ndiyo timu ya wananchi, siyo ya tajiri wa kihindi na 20B zake.
Siyo kwa uongozi huu Mkuu; viongozi wa kipindi kile walikuwa viongizi kweli kweli lakini wa sasa janja janja nyingi. Haws wa sasa wanawaza biashara zao na fursa za kisiasa. Yule Vice President kidogo anaweza kuwa na msimamo, pengine kutokana na nafasi yake serikalini kule Zanzibar
 
Ni Tanzania tu unaweza kuongea hivi na wasio na akili wakakuunga mkono. Mabaunsa wanawazidije uwezo Polisi àmbao walisindikiza gari la Simba Hadi uwanjani na wengine wakatoka Polisi Chang'ombe kuja kuangalia kama kuna tatizo? Kamanda Muliro alijinasibu Usalama ni kipaumbele kwenye hiyo Mechi na akatoa kauli "Mtu asije na matokeo yake mfukoni",' aliachaje Wahuni wanaoitwa Mabaunsa waizuie Simba isifanye mazoezi kama ilikuwa pale kihalali?
Kulingana na mwanahabari wa wasafi aliyekuepo pale
Anadai fujo ilidumu masaa mawili
Kwa hiyo hata kama hao askari hawakuepo maana mechi ilihairishwa walikua wana uwezo wa kuja

Sio askari tu hata hao viongozi hawakuja hao wa tff

Ni masaa takriban mawili mpaka mambo yapo online

Hili jambo ni kama planned
 
Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa Simba kwa msimu nilioutaja hapo juu, ambapo kulikuwa na Mechi ya Derb kati ya Simba na Yanga huku Simba akiwa Mwenyeji, Alifuatwa na Viongozi wa BMT na TFF wakiomba Simba ikubali Mabadiliko ya Ratiba ya Derb kutoka Saa 11 jioni na badala yake ichezwe saa moja usiku, huku akisema sababu ni Rais wa wakati Huo Mh. Samia alitaka kushuhudia mechi hiyo lakini kwa muda wa saa 11 jioni alikuwa na shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Rais Mwinyi cha historia yake hivyo akasema Kama inawezekana mechi isogezwe hadi saa moja usiku, kwakuwa Kauli ya Rais ni Sheria basi ilibidi TFF na BMT watekeleze ombi hilo ambalo Kwa nafasi ya Uraisi ni Amri na Si Ombi. Simba ilikubali Ombi hilo japo amekiri lilikuwa ni uvunjifu kwa kanuni.

TFF na BMT hao hao, walipowafata Yanga , Yanga walikataa maelekezo na ombi hilo, na walifuata kanuni na kugomea mchezo huo.

Mh. Muhina Kaduguda ameenda mbali zaidi na kusema hata huu usitishwaji wa derb kwa sasa uliofanyika inawezekana kuna nguvu kubwa na wanasiasa nyuma ya Pazia ambayo imewekwa ni Siri kubwa, na labda miaka ijayo tutakuja kujua ukweli. Kwa namna hii inaonesha Dhahiri Mpira wetu unaingiliwa sana na siasa na vyombo vya usimamizi TFF na Bodi ya Ligi vimekaa pale wakati wanaofanya maamuzi ni wana siasa.

Link hii hapa msikilize kaduguda mpaka mwisho

View: https://www.youtube.com/watch?v=AqXWtfQhsAo

Yanga hawakuambiwa sababu TFF na BMT waliona wangeweza kuwaburuza tu. Wangeambiwa sababu wasingekataa.
Na wale wazee walioitisha press wasingefanya vile.
Yanga ni timu yenye nidhamu kwa viongozi wa nchi.
 
Na hii ya juzi aseme tu ukweli timu yake ya simba ilikimbia kichapo. Sidhani kama kuna sababu nyingine yenye mashiko ya kususia ile mechi.
Mkuu inawezekana Mama Abdul alikuwa Arusha kwenye Kilele cha siku ya Wanawake na alitamani ni yeye tu asikile siku ile na sio kingine. We unafikiri Simba ji wajinga wasusie mechi na TFF waingie king namna ile?

Mama Abdul sio wa kumuamini sana.
 
Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa Simba kwa msimu nilioutaja hapo juu, ambapo kulikuwa na Mechi ya Derb kati ya Simba na Yanga huku Simba akiwa Mwenyeji, Alifuatwa na Viongozi wa BMT na TFF wakiomba Simba ikubali Mabadiliko ya Ratiba ya Derb kutoka Saa 11 jioni na badala yake ichezwe saa moja usiku, huku akisema sababu ni Rais wa wakati Huo Mh. Samia alitaka kushuhudia mechi hiyo lakini kwa muda wa saa 11 jioni alikuwa na shughuli ya uzinduzi wa kitabu cha Rais Mwinyi cha historia yake hivyo akasema Kama inawezekana mechi isogezwe hadi saa moja usiku, kwakuwa Kauli ya Rais ni Sheria basi ilibidi TFF na BMT watekeleze ombi hilo ambalo Kwa nafasi ya Uraisi ni Amri na Si Ombi. Simba ilikubali Ombi hilo japo amekiri lilikuwa ni uvunjifu kwa kanuni.

TFF na BMT hao hao, walipowafata Yanga , Yanga walikataa maelekezo na ombi hilo, na walifuata kanuni na kugomea mchezo huo.

Mh. Muhina Kaduguda ameenda mbali zaidi na kusema hata huu usitishwaji wa derb kwa sasa uliofanyika inawezekana kuna nguvu kubwa na wanasiasa nyuma ya Pazia ambayo imewekwa ni Siri kubwa, na labda miaka ijayo tutakuja kujua ukweli. Kwa namna hii inaonesha Dhahiri Mpira wetu unaingiliwa sana na siasa na vyombo vya usimamizi TFF na Bodi ya Ligi vimekaa pale wakati wanaofanya maamuzi ni wana siasa.

Link hii hapa msikilize kaduguda mpaka mwisho

View: https://www.youtube.com/watch?v=AqXWtfQhsAo

Wewe ndo wajua leo? hizi timu mbili hutumika kupumbaza watz hasa kipindi cha samia zinatumiwa kama sehemu ya propaganda ya.CCM.

Wanaharibu sana
 
Back
Top Bottom