HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Na Ndio Mwaka Wa Kutoa Kula,,Ili Upate Kura,,Uendelee Kula Vya Wenye Kura,,Inabidi Yeye Ndio Awe Main Top Story And Trending,,Dabi Ingemficha,,Na Mbaya Zaidi Hiyo Siku Ilikuwa Ni Ya Kwao Kweri Kweri,,Na Nadhani Ikipangwa Tena,,Atakuwepo.kumbuka siku ya derby kulikuwa na matukio mawili makubwa. Moja arusha, mbili dar es salaam. Haya chekecha kichwa yako tuone