Nyerere ndio katuachia dubwasha CCM, linatutesa hadi leoNdg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emoji7]
Ni ujinga kulaumu utawala ulioondoka miaka 40 iliyopita kwamba ndio chanzo cha matatizo, kwa hiyo miaka 40 tawala zilizofuata hayupo ambaye alitoka usingizini na kusahihisha makosa ya Nyerere?
Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza.
Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza.
Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
Hajasema hivyo, ila ni wewe umeamua kuweka tafsiri hiyo kwa sababu zako za kichonganishi tu.Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere alikuwa katili kuliko Mwinyi, Mkapa, Kikwete na JPM wote kwa pamoja.
Ujuaji huu haumsaidii yeyote na unamfanya anaye onyesha ujuaji kuwa kioja.wako,huyo Mzee alikuwa nuksi sana kwa vile tu nyakati hizo habari hazikuwa zinavuma kama zama hizi. Magazet matatu tu,Uhuru,Dailly News na Mfanyakazi na yote ni ya Serikali na Chama. Na yeye alivuna roho kiasi chake.
Lakini kalinganishe "Daily News" ya wakati huo na haya magazeti yote tuliyo nayo sasa halafu unieleze leo tuna magazeti yanayo toa habari na kuridhika na unachosoma!..kuna wakati magazeti yalikuwa Uhuru na Daily News.
Hili ni jambo la kujadili kwa kina kwenye mada yake sahihi...harakati za kudai uhuru wa Tanganyika zilikuwa za kizalendo, na hakukuwa na mambo ya udini, ukabila, au ukanda. Sio sahihi kusema mambo hayo hayapo kwasababu ya Mwalimu Nyerere.
Hili ni jambo la kujadili kwa kina kwenye mada yake sahihi.
Natumaini siku moja utaitengeneza mada hiyo mkuu'JokaKuu'.
Mambo hayo hayakuwepo?/hayakujitokeza wakati huo kwa sababu maalum, siyo kwamba hayakuwepo.
But I would say he was more close to a saint considering the epoch in which he ruled.Who expects any human being to be a saint; not even one's parents can qualify to sainthood. Again, look around in the neigborhood or around the world for that matter, at the time; where can one find a saint national leader?Kama huna “open” na “critical mind” na una hulka ya kushabikia na hata kuabudu watu, huwezi kuelewa anachosema Lissu.
Kasome kitabu cha: Remembering Nyerere in Tanzania, ed. Marie-Aude Fouéré 2015 utakutana na uchambuzi tunduizi kuhusu pande zote za Nyerere usioremba tu. Tatizo la Lissu ni kukosa lugha ya kufurahisha. Anaumwaga ukweli bila kunyunyizia “painkiller”! Nyerere was not a saint.
Huo mstari wa mwisho. Unadhani kazi hiyo ilijitokeza tu bila kufanyiwa juhudi?..kwa mtizamo wangu waliodai uhuru walisukumwa na uzalendo na sio dini, ukabila, au ukanda.
..vyama vya kikabila viliwahi kuanzishwa lakini vilijiunga chini ya mwamvuli wa Tanu, na kupigania uhuru wa Tanganyika yote.
Cc Nguruvi3
Najuwa ulitaka pawepo na internet. Hata mimi namlaumu kwa kutokuwepo internet wakati huo Tanzania! EeeenHeeeee!Mimi sikuwepo enzi za mwalimu ila kwa simulizi mbalimbali zilizopo ni kwamba hiyo awamu yake ilikuwa sio poa. Ndo nyakati wananchi walikuwa wakisema "zidumu fikra za mwenyekiti".. kwangu mimi kikubwa alichofanya mwalimu ni kutokomeza ukabila. Ila mambo mengi yalikuwa hovyo.
Umeandika ushuziNajuwa ulitaka pawepo na internet. Hata mimi namlaumu kwa kutokuwepo internet wakati huo Tanzania! EeeenHeeeee!
Sawa kabisa na jina lako. hao ulio kuwa unasikiliza simulizi toka kwao hawakukuambia kuhusu lawama hiyo kubwa ya Nyerere kutoleta internet?Umeandika ushuzi
vijana wa siku hizi tunaabudu wanasiasa wetu na sio kujua nini taifa linaihitaji wa wakati gani Nyerere alikuwa ni mzalendo na mpenda maendeleo lakini LISU ni mnafiki na msaliti ...kipindi cha Magufuli aliwahi saidia wazungu waifiri Tanzania kwa mgongo wa uwakili, lakini pia alikuwa anatoa siri za nchi nje.....LISU ni miongoni mwa watu wasio kuwa na utu na kiu ya kulinda taifa lake(anasapoiti ushoga ili hali akijua kufanya hivo ni kuvuruga nguvukazi ya Taifa kwani hakuna shoga ataweza kuzalisha au kufanya kazi za kuzalisha mali katika taifa lolote) Nyere atabaki kuwa mzalendo na katika nchi zote zenye marais wazalendo ni lazima kuwepo usimamizi wa hali ya juu rasilimali za nchi hali hii huonwa kama ukandamaizaji kwa watu wajinga kam LISU.Tatizo mmelishwa matango pori..
Nyerere ndiye rais mbovu aliyejenga misingi mibovu sana ya nchi hii.
1. Ujinga mtopeo..ni yeye chanzo
2. Unafiki wa Tz ni yeye chanzo
3. Nidhamu ya uoga ni yeye chanzo
4. Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
5. Umaskini ni yeye chanzo
Nani amuulize?Akiulizwa kwa nini anasemaje?
Akili zenu huko ccm ni kama za mamayenu wa kizimkazi, uwezo wa kufikir hamna Yani mko mijinga mijinga tu ndio maana toka uhuru Hadi sasa bado mnafikiria matundu ya choo tu.Ndg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emoji7]