DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aisee nilikuwa cjui haya, πŸ˜‚ je sheini ni wakuja?
Shein ni mpemba wa Chokocho , njaa , woga kuliko kunguru vinamsumbuwa , mtu na elimu yake ya Phd kaamua kuzifuata nyayo za Lipumba na Kabudi
 
Asante, mazingira Moro.wameyaharibu sana nashangaa kule milimani bado wanajenga vijumba tuu na huduma za kijamii zinapelekwa.
Kuna Barabara, minara ya SIMU, Yan πŸ˜‚ Kuna mji kabisa mlimani
 
Shein ni mpemba wa Chokocho , njaa , woga kuliko kunguru vinamsumbuwa , mtu na elimu yake ya Phd kaamua kuzifuata nyayo za Lipumba na Kabudi
Pesa sabuni ya roho, siunaona Wagner group wamepiga U-turn
 
Kwa heri morogoro, nimerudi kitengo Cha KAzi, tutaonana baadae kidogo
 
Kunywa bia pimbi wewe
 
morogoro maji ya bomba ya kilini ni machafu kama ya mgodini, nilikuea sua hapo maalaka inatuambia tungoje mvua, wananchi walipata shida sna bora wanafunzi underground tanks zaetu zilikuwa zinjazwa full ndo wanafuata wanaichi wa CCM
 
Mamlaka ya maji ya moshi na tanga kila mwaka wanabeba tuzo ya utoaji huduma bora na maji ya uhakika bila kukatika katika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana.
Sasa kama maji ni shida watu wanagegedana vipi wanaoga kitu gani baada ya tendo pendwa?
Mbunge na waziri wapo bungeni kupiga domo la DP World ije Tanganyika.
 
Halafu maji ya boza unakuta wanauza hao watu wa moruwasa. Yani ningekua kiongozi ningewahamisha au kuwafukuza watu wote ofisini nilete wapya
 
Poleni sana.
Sasa kama maji ni shida watu wanagegedana vipi wanaoga kitu gani baada ya tendo pendwa?
Mbunge na waziri wapo bungeni kupiga domo la DP World ije Tanganyika.
Uncle nchini Ina enda kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Kuna mtu namjua kalipia aunganishwe maji hapo Moro tangy mwaka Jana Kila siku akienda Moro wasa wanamwambia tutakupigia.

Kumbuka ashalipia Kila kitu.

Yaani kama Kuna idara ya maji imeoza na kuvunda uvundo wa funza basi MORUWASA.
 
Morogoro kuna watu wanatumia maji kutoka sehemu mbili, kuna wale ya kutoka milimani na wengine wanatumia kutoka pale mindu,
Maji ya mindu ni magonjwa tupu

Ova
Hayo ndio yanaensa msamvu, kihonda, mafiga, nanenane tubuyu na kwengineko kwenye mini mipya.

Tabu tupu
 
Isee we jamaa Kila sehemu bongo unaijua, upewe mau yako hapa JF[emoji253][emoji258][emoji272]
Miaka fulani kwenye utafutaji niliendaga dodoma,kyna sehemu inaitwa segala,aise huko nlikutana na shida na maji balaa
Maji ilikuwa kama almasi huko kwa sasa sijui hali ikoje
Maana huko nakumbuka kuoga ilikuwa unajipiga passport size tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…