mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
HahahaIsee we jamaa Kila sehemu bongo unaijua, upewe mau yako hapa JF[emoji253][emoji258][emoji272]
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaIsee we jamaa Kila sehemu bongo unaijua, upewe mau yako hapa JF[emoji253][emoji258][emoji272]
Aah kata ya mkundi inapopita Barabara ya Dodoma, aisee poleni , ndio nimepewa taarifa kwamba Kuna hospital kubwa zaid ya rufaa inajengwa , SS itabidi hiyo hospital ijengewe likisima lake la sivyo Hali itakuwa balaa sana hapo hospitalnEneo la Mkundi janga ni kubwa zaidi kupita maelezo.
Ndio strategy yetu 🤣🤣🤣🤣Nimebust kwa kicheko🤣🤣🤣🤣
Moshi Ndio home nikiendaga kipindi Cha Holiday huwa Sina hofu ya maji kutoka au kuchemshwaKero nyingine ananiambia huwa idara ya maji wanafungulia upepo mwingi sana 🤣 badala ya maji , ivyo kupelekea bill za maji kuwa kubwa sana, Kuna kipindi jamaa , bili ilikuja elfu 74k,
MORUWASA Acheni huu wizi wa kufungulia upepo badala ya maji, hiki kitu nimekiona pia Dodoma, HAta dar wanafanya ivi,
Nikama imekuwa Nika mchezo kao hawa idara za maji,
Sehemu pekee ambako niliona maji hayana shida sana, na safi na salama Kwa kunywa bila kuchemsha ni moshi, hongerani sana idara ya maji ya mkoa wa Moshi (Kilimanjaro) , endeleeni msirudi nyuma 🙏🤝
Polen sana, Jana nilikuwa maeneo ya mji mpya, nikaona ngoma inachezwa, Leo nimeenda mawenzi sokoni nako nimekuta Kuna kigoma kinapita😂😂.Moro hapa uongozi ndo shida hata barabara bado zakizaman vumbi jingi aache kugawa mabus yamazishi
Huu mkoa niwaukanda huu wamashariki wazigua wapo, waluguru wapo nahao wote ni wabobevu wamambo yavigomaPolen sana, Jana nilikuwa maeneo ya mji mpya, nikaona ngoma inachezwa, Leo nimeenda mawenzi sokoni nako nimekuta Kuna kigoma kinapita[emoji23][emoji23].
Inaonyesha wenyeji wa huu mkoa , wanapenda mambo ya kipumbavu
Alafu ni watu masikini sana, mfano hapo mji mpya kwenye hicho kigoma, nyumba zao , ni za kizamani sana tokea Uhuru,Huu mkoa niwaukanda huu wamashariki wazigua wapo, waluguru wapo nahao wote ni wabobevu wamambo yavigoma
Anamshinda Makamba Senior kwa sinemaMwinyi nikimsikilizaga anavyoongea kwa lafudhi ya kipemba, huwa nacheka sana, Mwinyi ni bongo movie mzuri sana
Lakini nasikia wa zenji wanawapenda sana warabu koz wana ndugu zao
Hayo maonyesho yanafanyika eneo lenye sehemu ndogo sana na haiwezi kuwa sababu ya maji kusumbua.Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo la 88.
Weka picha yakusindikiza commentAlafu ni watu masikini sana, mfano hapo mji mpya kwenye hicho kigoma, nyumba zao , ni za kizamani sana tokea Uhuru,
Yan [emoji23] ukiwaona hao wadada wamejichubua , sare za Madera, hukuwana tikisa makalio[emoji527][emoji39]
Idarani , kitengon, miongozo Kila kukichaHayo maonyesho yanafanyika eneo lenye sehemu ndogo sana na haiwezi kuwa sababu ya maji kusumbua.
Matatizo mengi ya nchi yetu yanashindikana kwa sababu ya watendaji na team zao kukosa ubunifu zaidi zaidi wote ni watekelezaji wa maagizo kutoka juu tu..
hawana kingine cha kuoffer.
Mimi huwezi kuniweka sehemu km manispaa ya morogoro kuwa mkurugenzi wa shirika la maji wananchi wakapata shida ya maji kwa zaidi ya miaka 15..
huo ni upumbavu
Aisee nilikuwa cjui haya, 😂 je sheini ni wakuja?Wazanzibari ni watu waliochanganya na Waarabu na kila mtu ana kwao hapa kisiwani . Ukiona mtu hana kwao hapa ujuwe ni wa kuja.
Karume , Mwinyi , Jumbe wote ni wa kuja hawana kwao hapa Zanzibar.