DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

DOKEZO Shida ya maji mkoani Morogoro

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anauvuta uradi maana madudu aliyoyaibua CAG ni hatari
Mwinyi nikimsikilizaga anavyoongea kwa lafudhi ya kipemba, huwa nacheka sana, Mwinyi ni bongo movie mzuri sana
 
Eneo la Mkundi janga ni kubwa zaidi kupita maelezo.
Aah kata ya mkundi inapopita Barabara ya Dodoma, aisee poleni , ndio nimepewa taarifa kwamba Kuna hospital kubwa zaid ya rufaa inajengwa , SS itabidi hiyo hospital ijengewe likisima lake la sivyo Hali itakuwa balaa sana hapo hospitaln
 
Kingine mwenyeji wangu ananiambia maji huwa Yana toka usiku sana, Sema yy ana Thank so hakeshi mpaka saa 8 za usiku kama majirani wezake wanaoishi nyumba za kupanga wanavyo angaika
 
Kero nyingine ananiambia huwa idara ya maji wanafungulia upepo mwingi sana 🤣 badala ya maji , ivyo kupelekea bill za maji kuwa kubwa sana, Kuna kipindi jamaa , bili ilikuja elfu 74k,

MORUWASA Acheni huu wizi wa kufungulia upepo badala ya maji, hiki kitu nimekiona pia Dodoma, HAta dar wanafanya ivi,

Nikama imekuwa Nika mchezo kao hawa idara za maji,

Sehemu pekee ambako niliona maji hayana shida sana, na safi na salama Kwa kunywa bila kuchemsha ni moshi, hongerani sana idara ya maji ya mkoa wa Moshi (Kilimanjaro) , endeleeni msirudi nyuma 🙏🤝
 
Moshi Ndio home nikiendaga kipindi Cha Holiday huwa Sina hofu ya maji kutoka au kuchemshwa
 
Moro hapa uongozi ndo shida hata barabara bado zakizaman vumbi jingi aache kugawa mabus yamazishi
 
Polen sana, Jana nilikuwa maeneo ya mji mpya, nikaona ngoma inachezwa, Leo nimeenda mawenzi sokoni nako nimekuta Kuna kigoma kinapita😂😂.

Inaonyesha wenyeji wa huu mkoa , wanapenda mambo ya kipumbavu
 
Moro hapa uongozi ndo shida hata barabara bado zakizaman vumbi jingi aache kugawa mabus yamazishi
Kuna mifereji mikubwa, sijui HAta ndio ujenzi Gani wa Barabara, Iko wazi ukizubaa unatumbukiza gari
 
Polen sana, Jana nilikuwa maeneo ya mji mpya, nikaona ngoma inachezwa, Leo nimeenda mawenzi sokoni nako nimekuta Kuna kigoma kinapita[emoji23][emoji23].

Inaonyesha wenyeji wa huu mkoa , wanapenda mambo ya kipumbavu
Huu mkoa niwaukanda huu wamashariki wazigua wapo, waluguru wapo nahao wote ni wabobevu wamambo yavigoma
 
Alafu ni watu masikini sana, mfano hapo mji mpya kwenye hicho kigoma, nyumba zao , ni za kizamani sana tokea Uhuru,
Yan 😂 ukiwaona hao wadada wamejichubua , sare za Madera, hukuwana tikisa makalio🍑😋
 
Tuachie mji wetu Kwan wewe unakuhusu nini? Fanya kazi zako na uondoke sio kuanza kusemasema.
 
Lakini nasikia wa zenji wanawapenda sana warabu koz wana ndugu zao

Wazanzibari ni watu waliochanganya na Waarabu na kila mtu ana kwao hapa kisiwani . Ukiona mtu hana kwao hapa ujuwe ni wa kuja.

Karume , Mwinyi , Jumbe wote ni wa kuja hawana kwao hapa Zanzibar.
 
Hasa kipindi hiki cha kuelekea maonyesho ya 88 Hali inakuwa mbaya zaidi, kwani maji mengi wanayapeleka kunyeshea kwenye bustani za mazao mbalimbali kwenye eneo hilo la 88.
Hayo maonyesho yanafanyika eneo lenye sehemu ndogo sana na haiwezi kuwa sababu ya maji kusumbua.

Matatizo mengi ya nchi yetu yanashindikana kwa sababu ya watendaji na team zao kukosa ubunifu zaidi zaidi wote ni watekelezaji wa maagizo kutoka juu tu..
hawana kingine cha kuoffer.

Mimi huwezi kuniweka sehemu km manispaa ya morogoro kuwa mkurugenzi wa shirika la maji wananchi wakapata shida ya maji kwa zaidi ya miaka 15..
huo ni upumbavu
 
Alafu ni watu masikini sana, mfano hapo mji mpya kwenye hicho kigoma, nyumba zao , ni za kizamani sana tokea Uhuru,
Yan [emoji23] ukiwaona hao wadada wamejichubua , sare za Madera, hukuwana tikisa makalio[emoji527][emoji39]
Weka picha yakusindikiza comment
 
Hayo maonyesho yanafanyika eneo lenye sehemu ndogo sana na haiwezi kuwa sababu ya maji kusumbua.

Matatizo mengi ya nchi yetu yanashindikana kwa sababu ya watendaji na team zao kukosa ubunifu zaidi zaidi wote ni watekelezaji wa maagizo kutoka juu tu..
hawana kingine cha kuoffer.

Mimi huwezi kuniweka sehemu km manispaa ya morogoro kuwa mkurugenzi wa shirika la maji wananchi wakapata shida ya maji kwa zaidi ya miaka 15..
huo ni upumbavu
Idarani , kitengon, miongozo Kila kukicha
 
Wazanzibari ni watu waliochanganya na Waarabu na kila mtu ana kwao hapa kisiwani . Ukiona mtu hana kwao hapa ujuwe ni wa kuja.

Karume , Mwinyi , Jumbe wote ni wa kuja hawana kwao hapa Zanzibar.
Aisee nilikuwa cjui haya, 😂 je sheini ni wakuja?
 
Back
Top Bottom