Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
SO Phiri ni Winga wakati huo huo ni CF?Boko na Onana
Swali : Kwanini Tulimsajili?
Usijizime data. Huyo Phiri anabonda kote kote vizuri mpeleke pembeni kushoto au kulia sawa, ukimrudisha katikati wewe tu na Robetino wako ila kwake yeye sawa tu. Hayo mambo ya kumpanga mvaa hereni anaecheza na majukwaa halafu anapoteza mpira kizembe halafu hawezi kumkimbiza adui kurudisha mpira aliopeteza acheni kabisa. Na huyo Phiri kama hatakiwi Simba aachwe dirisha dogo akatafute maisha sehemu nyingine.SO Phiri ni Winga wakati huo huo ni CF?
Maana umetaja nafasi mbili tofauti.
Kama ni Winger, onana hana namba simba.
Kama ni CF, boko pia hana namba hiyo namba yoyote anacheza.
Be specific unataka Phiri akacheze wapi?
Onana mara ya mwisho kaanza Lini?Usijizime data. Huyo Phiri anabonda kote kote vizuri mpeleke pembeni kushoto au kulia sawa, ukimrudisha katikati wewe tu na Robetino wako ila kwake yeye sawa tu. Hayo mambo ya kumpanga mvaa hereni anaecheza na majukwaa halafu anapoteza mpira kizembe halafu hawezi kumkimbiza adui kurudisha mpira aliopeteza acheni kabisa. Na huyo Phiri kama hatakiwi Simba aachwe dirisha dogo akatafute maisha sehemu nyingine.
Kwa taarifa yako duniani kote makocha wote borai wanapenda na wanataka sana wachezaji wanaocheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Hii inawasidia kubadili mifumo ya kiuchezaji kirahisi na wakati mwingine kwa kutumia "sub " chache au "kuswitch" tu wachezaji ndani ya uwanja. Na hata kukiwa na majeruhi kwenye timu athari inakuwa ndogo sana.Mnaotaka kujua phiri ni No ngapi.
ANACHEZA NAFASI KWENYE NAFASI NYINGI NDIO MAANA ANAPWAYA.
wachezaji wazuri Huwa wanaocheza Nafasi Moja Hadi mbili tu na si zaidi.
MOSES PHIRI ALISAJILIWA SIMBA KAMA MSAMBULIAJI.
Alisajiliwa Simba kama Mshambuliaji ilihali Moses Phiri si mshambuliaji.
Ukitaka Kumfaidi Phiri uwe na MUGALU kwenye Timu yako.
Phiri ni second straiker 10.
So No 10 ni namba AMBAYO wanaocheza Saido na chama
Japo chama sikuhizi zote tangu alipokuja Robertinho ANACHEZA 11.
Mugalu sijui yukwap? Simba tulimuacha nkashangaa na kumkumbatia Bocco🤣,Mnaotaka kujua phiri ni No ngapi.
ANACHEZA NAFASI KWENYE NAFASI NYINGI NDIO MAANA ANAPWAYA.
wachezaji wazuri Huwa wanaocheza Nafasi Moja Hadi mbili tu na si zaidi.
MOSES PHIRI ALISAJILIWA SIMBA KAMA MSAMBULIAJI.
Alisajiliwa Simba kama Mshambuliaji ilihali Moses Phiri si mshambuliaji.
Ukitaka Kumfaidi Phiri uwe na MUGALU kwenye Timu yako.
Phiri ni second straiker 10.
So No 10 ni namba AMBAYO wanaocheza Saido na chama
Japo chama sikuhizi zote tangu alipokuja Robertinho ANACHEZA 11.
Mwache aendelee kujidhalilisha kwa vitu vya ajabu ajabu anavyoandikaKwa taarifa yako duniani kote makocha wote borai wanapenda na wanataka sana wachezaji wanaocheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Hii inawasidia kubadili mifumo ya kiuchezaji kirahisi na wakati mwingine kwa kutumia "sub " chache au "kuswitch" tu wachezaji ndani ya uwanja. Na hata kukiwa na majeruhi kwenye timu athari inakuwa ndogo sana.
Sina hakika lini lakini takribani kila mechi hata akiwa sub lazima apewe dakika 20 mpaka 30 pamoja na kuharibu kote kila akiingiizwa huku Phiri akimbulia kama sio dakika mbili basi patupu. Hizo dakika 20 mpaka 30 wakipewa Phiri na Miquisone zinatosha sana kuwarudishia Phiri na Miquisone kujiamini na "match fitness" na kuisaidia Simba kuliko zinavyotumika vibaya kutaka kuonyesha kuwa madalali wa Onana walikuwa sahihi kumleta Simba.Onana mara ya mwisho kaanza Lini?
Ona sasa unaongea Vitu usivyovijua.....Sina hakika lini lakini takribani kila mechi hata akiwa sub lazima apewe dakika 20 mpaka 30 pamoja na kuharibu kote kila akiingiizwa huku Phiri akimbulia kama sio dakika mbili basi patupu. Hizo dakika 20 mpaka 30 wakipewa Phiri na Miquisone zinatosha sana kuwarudishia Phiri na Miquisone kujiamini na "match fitness" na kuisaidia Simba kuliko zinavyotumika vibaya kutaka kuonyesha kuwa madalali wa Onana walikuwa sahihi kumleta Simba.
Ndugu kusema sina hakika elewa kuwa sina "exact figure" na sina muda huo kwenda kutafuta kama unavyotaka wewe nifanye. Kwa sababu mpira ni mchezo wa wazi na unaonekana wazi kabisa kila mtu ameona wazi tangu Simba day, ligi ya ndani mpaka mashindano ya Afrika namna gani Onana kapewa muda mwingi kuliko Phiri. Any way ukibisha bisha lakini huo ndio ukweli.Ona sasa unaongea Vitu usivyovijua.....
Kafuatilie Onana amepata dakika Ngapi in total mechi zilizopita pia Phiri kapata Ngapi.
Huna uhakika ila bado unabishana? Kwanini usiende kupata huo uhakika kwanza?
Onana na Phiri wote hawachezi, sema wewe unataka nani asicheze ili huyu Phiri aanze?Ndugu kusema sina hakika elewa kuwa sina "exact figure" na sina muda huo kwenda kutafuta kama unavyotaka wewe nifanye. Kwa sababu mpira ni mchezo wa wazi na unaonekana wazi kabisa kila mtu ameona wazi tangu Simba day, ligi ya ndani mpaka mashindano ya Afrika namna gani Onana kapewa muda mwingi kuliko Phiri. Any way ukibisha bisha lakini huo ndio ukweli.
Kwa taarifa yako duniani kote makocha wote borai wanapenda na wanataka sana wachezaji wanaocheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Hii inawasidia kubadili mifumo ya kiuchezaji kirahisi na wakati mwingine kwa kutumia "sub " chache au "kuswitch" tu wachezaji ndani ya uwanja. Na hata kukiwa na majeruhi kwenye timu athari inakuwa ndogo sana.
Mwache aendelee kujidhalilisha kwa vitu vya ajabu ajabu anavyoandika
Sawa position yake haijajulika lkn kitendo cha mech kumwona bocco anaanze then phiri anasugua ni kuukosea heshima mpira