Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
SO Phiri ni Winga wakati huo huo ni CF?Boko na Onana
Maana umetaja nafasi mbili tofauti.
Kama ni Winger, onana hana namba simba.
Kama ni CF, boko pia hana namba hiyo namba yoyote anacheza.
Be specific unataka Phiri akacheze wapi?