Shida ya Moses Phiri ni kuwa position yake haijulikani pale Simba

Boko na Onana
SO Phiri ni Winga wakati huo huo ni CF?
Maana umetaja nafasi mbili tofauti.
Kama ni Winger, onana hana namba simba.
Kama ni CF, boko pia hana namba hiyo namba yoyote anacheza.
Be specific unataka Phiri akacheze wapi?
 
Ukitaka kuchukiwa zaidi ni Kuwa mkweli

Naonekana marudia nilichokiposti kwasababu nakiamini.

HAKUNA KOCHA ATAKAYEMUACHA MCHEZAJI MZURI BENCHI.

MOSES PHIRI SI MCHEZAJI MZURI.
Haya yanawakuta Simba kwasababu ya
1. Ubovu WA viongozi
2. Usajili mbovu.
3. Kukosa wataalamu WA USAJILI.

Moses Phiri Alikuwa ANATAKIWA na yanga Simba wakaingilia kati bila kujua uwezo wa MCHEZAJI.
 
Swali : Kwanini Tulimsajili?

Kulikuwa na Taarifa yanga kumtaka Moses Phiri.

Simba wakakurupuka wakaingilia kati wakimtumka Chama wakafanikiwa KUMPATA.

(Inshort walikurupuka kama kwa wachezaji niliokutajia).

Nadhani Nimekujibi vema.
 
Kocha kaulizwa leo kuhusu Phiri......
Amesema mbona hamumuulizi kuhusu Chilunda, Baleke? Why Phiri kila siku?
Akipata chance atamuanzisha ila hawezi badilisha mfumo wa timu.
 
Mtazunguka Kila kona.

NILIWAAMDIKIA VIONGOZI WENU REPORT YA KIUFUNDI.

WAKAIPUUZA NIKAAMUA KULETA SUMMARY HAPA JUKWAANI.

Mnaotaka kujua phiri ni No ngapi.

ANACHEZA NAFASI KWENYE NAFASI NYINGI NDIO MAANA ANAPWAYA.

wachezaji wazuri Huwa wanaocheza Nafasi Moja Hadi mbili tu na si zaidi.

MOSES PHIRI ALISAJILIWA SIMBA KAMA MSAMBULIAJI.
Alisajiliwa Simba kama Mshambuliaji ilihali Moses Phiri si mshambuliaji.

Ukitaka Kumfaidi Phiri uwe na MUGALU kwenye Timu yako.
Phiri ni second straiker 10.

So No 10 ni namba AMBAYO wanaocheza Saido na chama
Japo chama sikuhizi zote tangu alipokuja Robertinho ANACHEZA 11.
 
SO Phiri ni Winga wakati huo huo ni CF?
Maana umetaja nafasi mbili tofauti.
Kama ni Winger, onana hana namba simba.
Kama ni CF, boko pia hana namba hiyo namba yoyote anacheza.
Be specific unataka Phiri akacheze wapi?
Usijizime data. Huyo Phiri anabonda kote kote vizuri mpeleke pembeni kushoto au kulia sawa, ukimrudisha katikati wewe tu na Robetino wako ila kwake yeye sawa tu. Hayo mambo ya kumpanga mvaa hereni anaecheza na majukwaa halafu anapoteza mpira kizembe halafu hawezi kumkimbiza adui kurudisha mpira aliopeteza acheni kabisa. Na huyo Phiri kama hatakiwi Simba aachwe dirisha dogo akatafute maisha sehemu nyingine.
 
Onana mara ya mwisho kaanza Lini?
 
Mnaotaka kujua phiri ni No ngapi.

ANACHEZA NAFASI KWENYE NAFASI NYINGI NDIO MAANA ANAPWAYA.

wachezaji wazuri Huwa wanaocheza Nafasi Moja Hadi mbili tu na si zaidi.

MOSES PHIRI ALISAJILIWA SIMBA KAMA MSAMBULIAJI.
Alisajiliwa Simba kama Mshambuliaji ilihali Moses Phiri si mshambuliaji.

Ukitaka Kumfaidi Phiri uwe na MUGALU kwenye Timu yako.
Phiri ni second straiker 10.

So No 10 ni namba AMBAYO wanaocheza Saido na chama
Japo chama sikuhizi zote tangu alipokuja Robertinho ANACHEZA 11.
Kwa taarifa yako duniani kote makocha wote borai wanapenda na wanataka sana wachezaji wanaocheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Hii inawasidia kubadili mifumo ya kiuchezaji kirahisi na wakati mwingine kwa kutumia "sub " chache au "kuswitch" tu wachezaji ndani ya uwanja. Na hata kukiwa na majeruhi kwenye timu athari inakuwa ndogo sana.
 
Mugalu sijui yukwap? Simba tulimuacha nkashangaa na kumkumbatia Bocco🤣,
Bwalya nae dah, ile Simba 🔥
 
Kwa taarifa yako duniani kote makocha wote borai wanapenda na wanataka sana wachezaji wanaocheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Hii inawasidia kubadili mifumo ya kiuchezaji kirahisi na wakati mwingine kwa kutumia "sub " chache au "kuswitch" tu wachezaji ndani ya uwanja. Na hata kukiwa na majeruhi kwenye timu athari inakuwa ndogo sana.
Mwache aendelee kujidhalilisha kwa vitu vya ajabu ajabu anavyoandika
 
Onana mara ya mwisho kaanza Lini?
Sina hakika lini lakini takribani kila mechi hata akiwa sub lazima apewe dakika 20 mpaka 30 pamoja na kuharibu kote kila akiingiizwa huku Phiri akimbulia kama sio dakika mbili basi patupu. Hizo dakika 20 mpaka 30 wakipewa Phiri na Miquisone zinatosha sana kuwarudishia Phiri na Miquisone kujiamini na "match fitness" na kuisaidia Simba kuliko zinavyotumika vibaya kutaka kuonyesha kuwa madalali wa Onana walikuwa sahihi kumleta Simba.
 
Ona sasa unaongea Vitu usivyovijua.....
Kafuatilie Onana amepata dakika Ngapi in total mechi zilizopita pia Phiri kapata Ngapi.
Huna uhakika ila bado unabishana? Kwanini usiende kupata huo uhakika kwanza?
 
Sawa position yake haijajulika lkn kitendo cha mech kumwona bocco anaanze then phiri anasugua ni kuukosea heshima mpira
 
Ndugu kusema sina hakika elewa kuwa sina "exact figure" na sina muda huo kwenda kutafuta kama unavyotaka wewe nifanye. Kwa sababu mpira ni mchezo wa wazi na unaonekana wazi kabisa kila mtu ameona wazi tangu Simba day, ligi ya ndani mpaka mashindano ya Afrika namna gani Onana kapewa muda mwingi kuliko Phiri. Any way ukibisha bisha lakini huo ndio ukweli.
 
Onana na Phiri wote hawachezi, sema wewe unataka nani asicheze ili huyu Phiri aanze?
 
Kwa taarifa yako duniani kote makocha wote borai wanapenda na wanataka sana wachezaji wanaocheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Hii inawasidia kubadili mifumo ya kiuchezaji kirahisi na wakati mwingine kwa kutumia "sub " chache au "kuswitch" tu wachezaji ndani ya uwanja. Na hata kukiwa na majeruhi kwenye timu athari inakuwa ndogo sana.

Hakuna Mchezaji Mzuri akacheza namba zaidi ya Tatu.

Mchezaji mzuri ANACHEZA namba Mbili tu Maximum..

Huwezi ukawa KIPA wewe, Beki wa kati, kiungo wewe na winga wewe
HUO mpira ulikuwa WA Miaka ya 80 huko

Hii ni principle AMBAYO Makocha wote WANAOJUA na wanaisoma.

SASA NAONA KABISA KUWA JF IMEJAZA VILAZA WA FB
 
Mwache aendelee kujidhalilisha kwa vitu vya ajabu ajabu anavyoandika

Nitajie Mchezaji Bora WA Dunia aliyekua ANACHEZA NAFASI zaidi ya Tatu.

Wachezaji wote wanaocheza Nafasi zaidi ya Tatu mala nyingi WAMEKUWA wakitokea Benchi kwenda kuziba gape tu panapokuwa na shida.

1. John O'Shea hajawahi kuwa Regural starter Wala mchezaji wa kutumainiwa man u.

2. Raphael hajawahi kuwa mchezaji wa kuaminiwa man u.

3. Cancelo hajawahi kuwa mchezaji wa kuaminiwa man City Hadi kupoteana.

4. Kwa Tanzania ni Nyoni nae HAKUWA mchezaji tegemeo Simba zaidi walimtumia beki wa kati na kiungo tu....

Wachezaji wa KISASA wanafundishwa kucheza position Moja tu. Au mbili kwa nadra sana

Huwezi ukawa fundi UMEME, fundi tyres, welding, Kupaua.
HAKUNAGA KITU KAMA HICHO.
 
Sawa position yake haijajulika lkn kitendo cha mech kumwona bocco anaanze then phiri anasugua ni kuukosea heshima mpira

Uliza tukujibu kwanini kiufundi Koach anaamua kuanza na Boko.

1. Anakaba.
2. Mrefu.
3. Analink up na timu kutoka chini.
4. Ni nahodha KIONGOZI uwanjani.
5.Ni Target man.
6. Alianza kuwachosha Mabeki WA Alhly Ili Aliingia Baleke wawe wamechoka.
7. Anaweza Kutengeneza goli vizuri na kufunga.
8. Anafuata Maelekezo ya KOCHA kuliko washambuliaji wote.

ELIMU HII HUPEWI BURE.
MUWE MNATUSHUKURU.

N:B
Kwenye Uzi wangu wa ushauri niliwashauri watafute mshambuliaji ft 6 WA kumchallange Baleke.
 
Back
Top Bottom