Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

Shida ya usafiri leo Kigamboni baada ya daladala kugoma

Sisi ziligoma jana.. jioni wakaanza kuruhusu
Nauli jero… tulishazoea 400 unabakiwa na mia ya kula pipi kali 🤣🤣
😆😆
Leo wameachia au bado wamegoma?
 
Leo tumeamka na siku mpya huku Kigamboni daladala zimegoma ni mwendo wa Bajaj kila kituo buku mpaka buku mbili.

Sijui wenzetu huko mlipo hali ikoje.
Tukaze mwendo nchi nzima izizime tumechoka.
 
Ila si tulikubaliana humu kila mtu ni tajiri ana majumba na magari ya maana, sasa haya malalamiko ya nauli sjui daladala yanatoka wapi jaman[emoji1787][emoji1787]

kuna warusi wa buza na hawa chama cha mboga mboga wakiendelea na Royal seketule huku faida ya mzungu.

huku waziri desember mikamba akizidi kutushangaza
 
Ila si tulikubaliana humu kila mtu ni tajiri ana majumba na magari ya maana, sasa haya malalamiko ya nauli sjui daladala yanatoka wapi jaman🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 tunakuwaga matajiri kutegemeana na uzi Unasemaje
 
Back
Top Bottom