ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Unafikiri hawezi, sema vikwazo vya kimataifa ndio vinawaogopesha tuNjama na mikwara Huimarisha, natamani kesho JPM aanzishe plant ya kufua umeme wa nyuklia pale liganga
Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twiceHawa Iran washenzi sana aisee!
Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.
Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia Trump kuwa huelewa lugha moja tu, ile ya Iraq (kutwangwa makombora ya balistiki), walimuahidi akitia pua kwenye mzigo wake (Iran) unaoenda Venezuela, watamzungumzisha lugha ile pendwa.
Dah, eti mzigo wa kwanza wa mafuta umewasili Venezuela salama kabisa.
=====
View attachment 1458651
View attachment 1458657
View attachment 1458659
Kama kichwa kingekuwa na mfuniko,tungefanya mpango tufungue tuangalie kuna chochote kichwani kwako,michango mingine hopeless kabisa ni heli ufe uwe mbolea utastawisha hata kisamvu makaburini.Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.
Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
Ukijihisi una nguvu kuliko woote, kisha ukatoa amri ifuatwe na ukapatiliza kuwa lazima ifuatwe...yule uliye muamrisha akakaidi tena kwa kukupa vitisho wewe...na ukashindwa kusimamia amri yako...hapo wewe mtoa amri unakuwa ni DHAIFU na yule mwenye kukaidi amekufanyia UBABE.Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛
Venezuela's heavy crude is almost solid when it comes out of the ground, so it cannot flow through pipelines. It needs chemicals, diluting agents such as naphtha, to turn into a lighter substance that can eventually be exported. Sanctions include a ban on US firms exporting these agents. Feb 25, 2019Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijihisi una nguvu kuliko woote, kisha ukatoa amri ifuatwe na ukapatiliza kuwa lazima ifuatwe...yule uliye muamrisha akakaidi tena kwa kukupa vitisho wewe...na ukashindwa kusimamia amri yako...hapo wewe mtoa amri unakuwa ni DHAIFU na yule mwenye kukaidi amekufanyia UBABE.
Yaani uhisi wewe una mamlaka fulani,utoe adhabu (vikwazo) na una kila nyenzo za kusimamia hiyo adhabu (Navy na kila aina ya silaha) na ukawa na nia adhabu itekelezwe (asisafirishe mafuta), ila yule uliyempa adhabu akakaidi tena kwa kukupa vitisho juu (ukiugusa mzigo wangu, utaipata fresh), nawe ukaufyata...utakuwa DHAIFU WA KUTUPWA na huyo aliyekaidi ni MBABE.
hahaaaa watu mna masialaKama kichwa kingekuwa na mfuniko,tungefanya mpango tufungue tuangalie kuna chochote kichwani kwako,michango mingine hopeless kabisa ni heli ufe uwe mbolea utastawisha hata kisamvu makaburini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitambo ya kuchimba na kusafishia mafuta ya Venezuela mingi ilikuwa ikimilikiwa na makampuni ya kimarekani.Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃unajitekenya huku unacheka mwenyeweAma kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.
Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
😃😃😃Iran wanapoahidi kitu, lazima watekeleze. Sio kama Marekani na mikwara yake.
Yaani ikitokea hitajio la kubeti kati ya pande mbili US na Iran, pesa yangu nitaitia kwa Iran...hawawezi kuniangusha...lazima niondoke na ushindi.
Naona unajichekesha kujipa faraja![emoji2][emoji2][emoji2]unajitekenya huku unacheka mwenyewe
USA VS IRAN sasa CCM inakujaje hapo?Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Tafakari vizuri, utaelewa tu.USA VS IRAN sasa CCM inakujaje hapo?
Think twice[/u] [emoji41]
Onyesha Marekani aliposema atazikamata meli za Iran zitapokuwa zinapeleka hayo mafuta Venezuela.Ukijihisi una nguvu kuliko woote, kisha ukatoa amri ifuatwe na ukapatiliza kuwa lazima ifuatwe...yule uliye muamrisha akakaidi tena kwa kukupa vitisho wewe...na ukashindwa kusimamia amri yako...hapo wewe mtoa amri unakuwa ni DHAIFU na yule mwenye kukaidi amekufanyia UBABE.
Yaani uhisi wewe una mamlaka fulani,utoe adhabu (vikwazo) na una kila nyenzo za kusimamia hiyo adhabu (Navy na kila aina ya silaha) na ukawa na nia adhabu itekelezwe (asisafirishe mafuta), ila yule uliyempa adhabu akakaidi tena kwa kukupa vitisho juu (ukiugusa mzigo wangu, utaipata fresh), nawe ukaufyata...utakuwa DHAIFU WA KUTUPWA na huyo aliyekaidi ni MBABE.