Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.

Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
 
Njama na mikwara Huimarisha, natamani kesho JPM aanzishe plant ya kufua umeme wa nyuklia pale liganga
Unafikiri hawezi, sema vikwazo vya kimataifa ndio vinawaogopesha tu

kIongOzI Wa BaaDae
 
Hawa Iran washenzi sana aisee!

Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.

Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia Trump kuwa huelewa lugha moja tu, ile ya Iraq (kutwangwa makombora ya balistiki), walimuahidi akitia pua kwenye mzigo wake (Iran) unaoenda Venezuela, watamzungumzisha lugha ile pendwa.

Dah, eti mzigo wa kwanza wa mafuta umewasili Venezuela salama kabisa.
=====

View attachment 1458651

View attachment 1458657

View attachment 1458659
Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.

Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste
Kama kichwa kingekuwa na mfuniko,tungefanya mpango tufungue tuangalie kuna chochote kichwani kwako,michango mingine hopeless kabisa ni heli ufe uwe mbolea utastawisha hata kisamvu makaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa bila kujali kama mzigo umefika au haujafika, hivi kati ya anayeweka vikwazo na anayewekewa vikwazo, ni nani mwenye ubabe kwa mwenzake? 😛
Ukijihisi una nguvu kuliko woote, kisha ukatoa amri ifuatwe na ukapatiliza kuwa lazima ifuatwe...yule uliye muamrisha akakaidi tena kwa kukupa vitisho wewe...na ukashindwa kusimamia amri yako...hapo wewe mtoa amri unakuwa ni DHAIFU na yule mwenye kukaidi amekufanyia UBABE.

Yaani uhisi wewe una mamlaka fulani,utoe adhabu (vikwazo) na una kila nyenzo za kusimamia hiyo adhabu (Navy na kila aina ya silaha) na ukawa na nia adhabu itekelezwe (asisafirishe mafuta), ila yule uliyempa adhabu akakaidi tena kwa kukupa vitisho juu (ukiugusa mzigo wangu, utaipata fresh), nawe ukaufyata...utakuwa DHAIFU WA KUTUPWA na huyo aliyekaidi ni MBABE.
 
Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice

Sent using Jamii Forums mobile app
Venezuela's heavy crude is almost solid when it comes out of the ground, so it cannot flow through pipelines. It needs chemicals, diluting agents such as naphtha, to turn into a lighter substance that can eventually be exported. Sanctions include a ban on US firms exporting these agents. Feb 25, 2019
 
Ukijihisi una nguvu kuliko woote, kisha ukatoa amri ifuatwe na ukapatiliza kuwa lazima ifuatwe...yule uliye muamrisha akakaidi tena kwa kukupa vitisho wewe...na ukashindwa kusimamia amri yako...hapo wewe mtoa amri unakuwa ni DHAIFU na yule mwenye kukaidi amekufanyia UBABE.

Yaani uhisi wewe una mamlaka fulani,utoe adhabu (vikwazo) na una kila nyenzo za kusimamia hiyo adhabu (Navy na kila aina ya silaha) na ukawa na nia adhabu itekelezwe (asisafirishe mafuta), ila yule uliyempa adhabu akakaidi tena kwa kukupa vitisho juu (ukiugusa mzigo wangu, utaipata fresh), nawe ukaufyata...utakuwa DHAIFU WA KUTUPWA na huyo aliyekaidi ni MBABE.
Kama kichwa kingekuwa na mfuniko,tungefanya mpango tufungue tuangalie kuna chochote kichwani kwako,michango mingine hopeless kabisa ni heli ufe uwe mbolea utastawisha hata kisamvu makaburini.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaa watu mna masiala
giphy.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona huyo Venezuela unayemzungumzia ndio nchi yenye reserve kubwa kabisa ya mafuta duniani inakuwaje Iran kumuuzia Venezuela mafuta . Thinks twice

Sent using Jamii Forums mobile app
Mitambo ya kuchimba na kusafishia mafuta ya Venezuela mingi ilikuwa ikimilikiwa na makampuni ya kimarekani.
Baada ya vikwazo vya marekani makampuni yote yakafunga shughuli zake nchi Venezuela.
Kwahiyo kwa sasa venezuela haina uwezo wa kuzalisha na kusafisha mafuta ina tegemea ya kununua.
 
Ama kweli US ni noma, Venezuela anayeongoza kwa oil reserves sasa anaimport mafuta, inasikitisha sana. Atakayefanya biashara na Iran hashambuliwa kijesha bali atakosa fursa ya kufanya biashara na US, Sasa Venezuela tayari anavikwazo vya US tayari, kwa hiyo hana cha kupoteza.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
😃😃😃unajitekenya huku unacheka mwenyewe
 
Iran wanapoahidi kitu, lazima watekeleze. Sio kama Marekani na mikwara yake.

Yaani ikitokea hitajio la kubeti kati ya pande mbili US na Iran, pesa yangu nitaitia kwa Iran...hawawezi kuniangusha...lazima niondoke na ushindi.
😃😃😃
 
trump ni mzee aliyekulia katika dunia ya mashindano ya Cold War; bado ana nostalgia ile ya cold war, na kila mara anatafuta taifa la kushindnana nalo. Halafu dunia imabedilika sana tangu mwaka 1992 na sasa hivi Marekani ilitakiwa iwe iko juuu sana lakini kila ikipanda hatua moja inashuka tena chini hatua tano kutokana na kuwa na viongozi kama Trump na Bush.
 
Ukijihisi una nguvu kuliko woote, kisha ukatoa amri ifuatwe na ukapatiliza kuwa lazima ifuatwe...yule uliye muamrisha akakaidi tena kwa kukupa vitisho wewe...na ukashindwa kusimamia amri yako...hapo wewe mtoa amri unakuwa ni DHAIFU na yule mwenye kukaidi amekufanyia UBABE.

Yaani uhisi wewe una mamlaka fulani,utoe adhabu (vikwazo) na una kila nyenzo za kusimamia hiyo adhabu (Navy na kila aina ya silaha) na ukawa na nia adhabu itekelezwe (asisafirishe mafuta), ila yule uliyempa adhabu akakaidi tena kwa kukupa vitisho juu (ukiugusa mzigo wangu, utaipata fresh), nawe ukaufyata...utakuwa DHAIFU WA KUTUPWA na huyo aliyekaidi ni MBABE.
Onyesha Marekani aliposema atazikamata meli za Iran zitapokuwa zinapeleka hayo mafuta Venezuela.
Ila kama umeamua ujifurahishe na wenzako akina STRUGGLE MAN Bwana Utam nk ni sawa, na wamefurahi kwelikweli, Ni kama vile umewapa zawadi ya idd. Watu wakijifurahisha ni faida sio hasara[emoji38][emoji38][emoji38]

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Dah! Ukiwekeza kwenye Elimu basi hakuna wakikutisha! Iran imewekeza sana kwenye Elimu kati ya Nchi zote zilizowekewa Vikwazo ni Iran na NKorea tu ndo zimepiga hatua...Leo huwezi amini Iran ina teknolojia ya kuchimba mafuta na Gas ambapo apo awali walikua ni BP ya UK, wa US wa Canada, Russia ,Wachina na Nchi kadhaa Dunia ya Kwanza....Leo Iran inaisaidia Venezuela wataalamu na Vifaa mitambo ya kufufua sekta yake ya OIl....Iran kalamba dili nono la Tani 9 la dhahabu ,US akachukia sana kua iweje Iran ipewe dhahabu zote hizo....Na Iran ikifanikiwa kurejesha mitambo ya Venezuela kwenye uzalishaji mafuta basi Rais Madulo atakua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi meli ilikuwa inatembea anutical mile ngapi kwasaa au ilikuwa na Kasi Kama Lamborghini ikawapita shaa au iliondoka wamelala maana tuliahidiwa haiwezi katisha ghuba ya uajemi wamarekani wa tandahimba,buza, na uswekeni mkuje pande hii mtupe majibu mujarab

Sent from my I phone
 
Back
Top Bottom