ArtificialIntelligence
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 377
- 734
Kinachofanyika Venezuela kinaonyesha wazi jinsi gani watu ni wakatili.
US inahisi inamkomoa rais wa venezuela ila yeye ataendelea kuishi kwenye mansion zake anakula bata wanaoumia na hizi sanctions ni wananchi wa kawaida. Rais wa venezuela ana vijitabia vinaendana na jiwe, Iran nao kuingilia kati hawasaidii wananchi, yote wanazidi kumsupport rais kilaza ambaye nchi imemshinda amebaki kutumia nguvu kwenye kila kitu.
Hali ya Venezuela ni mbaya mno, na asilimia kubwa imesababishwa na kichwa kimoja tu kinachojifanya kinajua kila kitu. Such a waste