Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

Kiufupi muajemi afikirie upya, makamanda zaid ya 7 wamekufa, na si hao tu anzia kwa akina cassim, umejitutumua ukaamusha drons 300+cruss misel tena kubwa ukapeleka moto hata kuua kichanga hakuna alafu unashangilia et umefanikiwa?? Na wajipange isirael ataendelea kuua makamanda kila siku
 
Sasa kama Iran hajafanikiwa mnalialia nini huku mitandaoni?
 
Marekani UK ufaransa jodan amemsitiri sana netanyshua, Dron pekee yaka zingeifanya hiyo mifumo iishiwe kila kitu na cruising missle na ballistic missle zingekuja kuimaliza na kuifunika kabisa Israeli

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi, umejiuliza matokeo yake kama zote 300 zingefanikiwa kuhit target..??
Hapo Netanyahu atakaa aisahuu hiyo siku ..defence system zitumiak kila ya aina kunazia ndege , na hii imefanyika kuanzaiz Jordan drone pekee zingetosha kujenyesha hiyo mifumo yote halafu ndo mizinga Ije kumaliza kila kitu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ila kwa kweli Irani jana kaonesha kitu amaizing, hajaomba kutumia nchi za jirani kufanya kazi yake, hizo nchi zilishuhudia tu anga inapitishwa silaha kuelekea nchi nyingine. Package ya kitu 300 sio mchezo
Muajemi hakuomba pia kutumia anga za wengine kupitisha moto wake?
 
Israel imeharibika kwa kiwango gani kutokana na hili shambulizi? Wamepoteza watu wangapi?
 
Na hapo kwenye kiwanja Cha ndege mbona asbhi yake ndege zilikuwa zinaruka kama kawa, emu tupe taarifa ya kuathirika kwa huduma ktk kiwanja hiko
 
Sawasawa....muda utasema
Stori kama hizi ni za hovyo sana. Yani unajisimulia. Waandishi wazuri baada ya kusema uliyosema humalizia na "ilikuwa hivi..." Hapo unampa picha kamili hata yule aliyekosa kujua Iran walifanya nini.
 
Na hapo kwenye kiwanja Cha ndege mbona asbhi yake ndege zilikuwa zinaruka kama kawa, emu tupe taarifa ya kusitishwa kuathirika kwa huduma ktk kiwanja huko?
🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
Tunashabikia vita halafu bidhaa zikipanda tunamlaumu Mwigulu sisi watz tuna shida sana . middle East sio kwa kushabikia Vita.
 
Je yamefanikiwa kuleta madhara au damage imekuwa ndogo kuliko matarajio?
Si kwel madhara makubwa sana Ila vyombo vya magharibi vinajitahid kuficha taarifa mbaya kwa sababu kuu mbili moja haibu kwao pamoja na Isreal ya pili kuipa demand Iran siraha zake nchi nyingi zitataka kununua na wao soko kushuka lakin usikubal kua mjinga eti hakuna madhara ,jaribu kufikilia kule Ukraine si Kuna mbitambo ya anga za mmarekan lakin mrusi alikua anatuma from Kama 30 tu ambazo za Iran na nyengine zina hit target ndio itakua dron mia awamu ya kwanza Kisha ndron zingine jumlisha makombora
 
Mkuu tulia uandike kwa utulivu na ufasaha.
 
Tunashabikia vita halafu bidhaa zikipanda tunamlaumu Mwigulu sisi watz tuna shida sana . middle East sio kwa kushabikia Vita.
kwahiyo usiposhabikia ndo hawatopigana? bei za bidhaa hazitopanda
 
Huna akili kwani Iran alikuwa anashambulia viwanja vya mpira au alikuwa anashambulia kambi za jeshi?
Mkuu matusi ya nini uwanja wa hoja??

Tunazungumzia madhara ya vita sio shibe za viazi vya futari ya ramadhani,ipingwe kambi ya jeshi airwing ukonga,taifa mechi ziendelee!!!!unatumia akili za nani kufikiri hapa???

Ndio sababu tunawaambia vita hii wacheni mihemko na hisia za kidini,hilo shambulio huwenda madhara serious yaliyopatikana ni mwanga mkali usiku🤣🤣🤣.
 
Kwanini sasa Israel inataka kurudia kulipiza? changanya na zako ukiambiwa, Iran inasema imetimiza adhima yake kwa mafanikio yote waliyotaka, lengo lao halikuwa kuua raia lakini ilikuwa ni kushambulia base ya IDF iliyotumika kushambulia Damascus consulate building, na moto umeenda kuwaka pale pale on the spot. Israel wameambiwa wajibu kwa vvitendo sio kwa mdomo waone mapigo makubwa zaidi juu yao,

Biden kama ameshatia mpira kwapani kamwambia Netanyahu hatakuwa pamoja naye kwenye mashambulio ya kulipiza kisasi kwa Iran
 
Stori kama hizi ni za hovyo sana. Yani unajisimulia. Waandishi wazuri baada ya kusema uliyosema humalizia na "ilikuwa hivi..." Hapo unampa picha kamili hata yule aliyekosa kujua Iran walifanya nini.
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…