Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

kwa hiyo wapigwee tuuuu sio.inawezekana mdomo umemponza
 
Kumbe Viben 10 navyo siku hizi vinapiga wake? We mdada tafuta muhenga mwenzio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
👏👏👏
 
Hii kitu hakikubaliki na kinasikitish lakini kama jamii tuache double standards. Wakati shilole anamkata makofi nuh na akihojiwa anaona kama ni sifa ila jamii na feminists walikaa kimya na wemgine kumbeza nuh atapigwaje na mwanamke. Leo mwanamke huyo huyo kapigwa naona Tanzania itasimama. Violance ni violance na inatakiwa kupigwa vita pasipo kuangalia jinsia ama umri
 
Duh...pole sana dada vumilia wanaume ndivyo tulivyo...kukupasua makofi ya uso mara mojamoja sio mbaya
 
Hahaha nimewaambia hivyo pia ...sheria ni msumeno hukata kote kote
 
Kama hili tukio halijaripotiwa polisi basi tunaamini kabisa Shilole anapenda hii hali. Kalalamika kuondoa udhia tu

Kama hajaripoti basi tumuache apambane na hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…