Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Uchebe wakati anatoka na shilole sio kwamba alikuwa hayajui mapungufu yake ..sio kwamba alikuwa hajui kuwa mkewe ni mdangaji .Ila kwa kuwa hakuwa amemzoea kwa kuwa hakuwa ame fall in love akadiriki kujiongopea kuwa hayo ni mambo ya kawaida tu . Wajua kama hauja fall kwa mtu ni vigumu sana kuwa na wivu nae shida inakuja sasa zile moment mnazokuwa pamoja zinapoanza kujenga mazoea ndani ya moyo na fikira zako ..taratibu moyo wako unaanza kujenga wivu ' mwisho wa siku unajikuta unaanza kushindwa kuya vumilia Yale ambayo zamani ulikuwa unayaona but kwa kuwa ulikuwa hauja fall ukawa unajiongopea kuwa ni mambo ya kawaida tu na utajitahidi kumbadilisha mwenza wako tabia mbele kwa mbele yaani unaanza kujiongopea una sahau kwamba mtu aliyekuoa au uliye muoa ni mke wetu au mume wa watu

Hapo ndio shida inapoanzaga
 
Inakupata barabara maana huwezi ikwepa na mausingizi yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Masikini Shishi.
Hahah ila huyu demu nae hua ni taahira sana,ile siku ya uzinduzi wa albumu ya Harmonizer pale ukumbini alikuwepo Jk,Mwakyembe,Tulia,jamaa wa basata na watu kibao si huyo shishi akapewa nafasi ya kuimba mara naona anaanza kuimba sijui motherfucker nini mara paaap akaanza kuonyesha kidole cha kati huku ma sceen yote mle ukumbini yakimuonyesha.,hahah.

Ndipo nikajua dishi huyu limeshayumba kitambo sana.
 
Shishi wa watu jamani


Unajua tatizo n nini na ndoa za watu?!
 
Mtia nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM Zena Mohamed aka Shilole ametangaza kumuacha mme wake wa ndoa Mr Uchebe.

Shilole amedai ameamua kumuacha Uchebe kutokana na vipigo alivyokuwa akipokea mara kwa mara kutoka kwa mumewe.

Pamoja na hayo Shilole amesema harakati zake za kulinyakua jimbo la Igunga huko Tabora ziko pale pale.

Source: Ayo TV

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu si kila mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili, kuna muda ukiyafuata sana maandiko ya kwenye vitabu vya dini unapoteza muelekeo wa maisha.
.. Usiibe __ iba
..Ishi nao kwa akili __ jitie kichaa kwa muda
Tobaaa mamengazi wee yaani USI weye unasema FAπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Drama za wanawake kwa wanaume ni kama ile hadithi ya samaki na binaadamu

Binaadamu akimla samaki anaona sawa ila siku binaadamu akiliwa na samaki basi TV magazeti na maifisini habari itakuwa ni hiyo tu

Waweza kuona kipindi shilole anampiga makofi nuhu reaction ya watu kumtetea nuhu ilikuwa ni ndogo sana ...Leo shilole kapigwa na uchebe basi habari imekuwa habari haswaa kila kona wanawake wanapaza sauti wanasema mwenzao kaonewa
 
πŸ˜…πŸ˜… "ni mke wetu"
 
Wanawake na ninyi acheni uboya, kwanini mwanaume akizingua usimuache!,......achana nae then live your life, Be the change of what you see in the world.

Activist said.
 
Yap,mwanamke wa kibongo ukimwambia jambo malamoja mala mbili hasikii unamzibua kwanza kidoogo ili akili ziboost.
 

Huko Twitter leo naona wale "Feminist" watachachamaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…