Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

Hiyo ndo inaitwa mbwa kala mbwa...

We nenda kadange uniumize roho, nami nakuibukia usiku nakuumiza sura

Malipo ni hapahapa Duniani....

Mwisho wa siku kidume kimeibuka na ushindi, Shilole kaomba poo
 
Huyu Uchebe anajifanya Chris Brown? Hii ni kesi, hawezi kumpasua Shilole wetu kama hivyo, lazima afunguliwe mashtaka. Shilole ni kiburudisho chetu, yaani huyu dada ni commedy kushinda hao wakina Stive Nyerere.
Krisi Brauni alitaka kuua...Rihana utafikiri siyo yeye dah...
 
Hiyo ndo inaitwa mbwa kala mbwa...

We nenda kadange uniumize roho, nami nakuibukia usiku nakuumiza sura

Malipo ni hapahapa Duniani....

Mwisho wa siku kidumw kimeibuka na ushindi, Shilole kaomba poo
Hakuna Cha ushindi wowote..uboya tu.
Hizo nguvu alizotumia kumpiga mkewe angewekeza kichwani apate akili zaidi ya kutafuta pesa.
 
Hakuna Cha ushindi wowote..uboya tu.
Hizo nguvu alizotumia kumpiga mkewe angewekeza kichwani apate akili zaidi ya kutafuta pesa.
Kichwa kina mambo mengi, acha kipumzike wakati mikono ikishughulikia wasumbufu
 
Nikiwa mkubwa niwe kama Uchebe, sikia eeh Baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…