bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Ipo tofauti ya kuoa na kuolewa yeye anaoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Ushoga unaongezeka sababu wanaume wanasahau majukumu yao wanapenda mteremko!
Hata kama mke anakuzidi kipato mwanaume jitutumue kutafuta pesa na kubeba majukumu hiyo ndio sifa yenu
Hata kwa kidogo, inaleta heshima kwako
Sidhani mkuu, ndio kila siku? hawachoki?"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
View attachment 3027356
My take : Yawezekana Shishi alikuwa ana mtumikisha sana huyu Kijana na Yeye anapoondoka asubuhi huyu Kijana anakuwa hana nguvu kabisa baada ya kutumika sana usiku.
Ndio binti wa bichi ndio wanahitaji treatments na kuhudumiwa sio jimama lililochoka, huyo shilole wakati akiwa PRIME asingekubali kuwa na huyo kijana bali wenye fedha leo ni her turn yeye ni msngazi ahudumie kijana akitaka ahudumiwe huyo kijana sibora atafute mbichi.Ajijui❌
Hajijui✅
Hapo nimeelewa kumbe binti wabichi ndio wanahitaji treatments na sio Mishangazi.
As per Income Tax Act (ITA) 2004 Revised 2019.Hiyo hela aliyokuwa akiacha atambue kuwa ni Kodi ya Uchakavu ambayo alikuwa na wajibu wa kumlipa huyo kijana kwa kukubali kuishi na uchakavu.
So aache kujilalamisha
I don't condemn alichofanya huyo kijana kama ni kweli lakini, lakini hakuna kitu naichukia kama watu wakiachana na kuanza kupakana matopeMnawatia aibu wazee wenu!
Ushindwe kwenda kutafuta hela ya kula kisa umekesha unampa mke haki yake!? Sababu ya kijinga
Mpaka unakubali kuoa maana yake nguvu za kupiga mitii unazo.
Peleka motoo vijana🤸
Yes! Kwanini umpake mtu matope ambaye hajafanya hivyo?I don't condemn alichofanya huyo kijana kama ni kweli lakini, lakini hakuna kitu naichukia kama watu wakiachana na kuanza kupakana matope
Kumbee?sawa lakini kwa nini waachane afu watukanane na kutoleana siri za ndani😂 😂 😂
Kuna wimbo wa Roma na Stamina wameimbwa hao Shilole na Uchebe na Shilole akajitokeza mtandaoni kuwatukana sana.
Basi na yeye ajiandae kuanikwa na huyo anayemuanikaShilole unavyomuona yupo timamu kweli?
Muhaya na ngono 🙌🙌🙌🙌Mnawatia aibu wazee wenu!
Ushindwe kwenda kutafuta hela ya kula kisa umekesha unampa mke haki yake!? Sababu ya kijinga
Mpaka unakubali kuoa maana yake nguvu za kupiga mitii unazo.
Peleka motoo vijana🤸
Hata kama kafanya, mahusiano ni kutunziana Siri, kila mtu akisema ya mwenzake lazima Hali ichafukeYes! Kwanini umpake mtu matope ambaye hajafanya hivyo?
Watu wana roho mbaya sana
Word💪💪Huyo mwanaume akifanya hivyo kujihudumia na kutimiza majukumu instead kukaa na mbibi sibora atafute katoto kabichi aishi nacho.
Naona Shishi Ana pretend hajui rule of the Jungle na anjifanya ajijui kama yeye Mshangazi, Once mshangazi be mshangazi isiwe mtu yuko na wewe kama mshangazi unataka treatments za kabinti kibichi.
HII PICHA TU ILIVYO HUYU MWANAUME ANA SHIDA. YAANI MWANAUME AMEKAA KAMA MWANAMKE KABISA.....NI TATIZO"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
View attachment 3027356
My take : Yawezekana Shishi alikuwa ana mtumikisha sana huyu Kijana na Yeye anapoondoka asubuhi huyu Kijana anakuwa hana nguvu kabisa baada ya kutumika sana usiku.