Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
atoe hela yote hyo wap40000×30=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atoe hela yote hyo wap40000×30=
mnakoelekea nyieTuyaige mahi
Waoane wap sasa anaoanaga nwenyewe yuleKwani walioana au walikuwa wanapigana miti tu?
kwambaHuyo my take :😅😂😂😂
mtoto mayai mayai tuKijana hana makazi maana analialia tu??? Watoto wetu wa kiume lazima wajifunze kuwa responsible
au cyo utaqnza kusimangwaVijana wengine tunapasha tukalombe lishangazi hilo then tunakimbia.
Hit na kurun huku tunatafuna hela za mgahawa.au cyo utaqnza kusimangwa
Of course yes!Ajijui❌
Hajijui✅
Hapo nimeelewa kumbe binti wabichi ndio wanahitaji treatments na sio Mishangazi.
Huyu Shishi ni aina ya wanawake wale ambao ni domineering, wanaowatawala wanaume wao."Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
View attachment 3027356
My take : Yawezekana Shishi alikuwa ana mtumikisha sana huyu Kijana na Yeye anapoondoka asubuhi huyu Kijana anakuwa hana nguvu kabisa baada ya kutumika sana usiku.
sina 40 ya kuacha kila siku dihaTuyaige mahi
Kwa umri wa huyo dada na hilo umbo lake, hana sifa ya kupata vijana wa hilo rika bila kuwaonga. Hakuna kijana wa kiume wa hilo rika anaweza akawa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kama huyo mmama bila kumlipa hela.Mimi ni wa kike lakini mara kibao humu naonekana wa kiume...why?kwasababu huwa sitetei pale panapoonekana hapatakiwi kutetewa kwa jinsia yangu eti kisa mimi ni wa kike
Mkuu,ulichokiandika hapa ni utetezi hafifu sana ambao kimsingi umeandika sababu wewe ni jinsia hiyo inayoachiwa 40K ikiwa imelala
Aelewe hakuna kijana mwenye hela zake na mishe za kueleweka atakubali kuoa mshangazi. Vijana wanamkubali kwa sababu anawalipa halafu wao wanaenda kuenjoy na watoto wabichi.Huyo mwanaume akifanya hivyo kujihudumia na kutimiza majukumu instead kukaa na mbibi sibora atafute katoto kabichi aishi nacho.
Naona Shishi Ana pretend hajui rule of the Jungle na anjifanya ajijui kama yeye Mshangazi, Once mshangazi be mshangazi isiwe mtu yuko na wewe kama mshangazi unataka treatments za kabinti kibichi.
Ya kuacha tutakubaliana wenyewe, unaweza hata kuacha penzi tu, hahasina 40 ya kuacha kila siku diha
Kuoa??Mnawatia aibu wazee wenu!
Ushindwe kwenda kutafuta hela ya kula kisa umekesha unampa mke haki yake!? Sababu ya kijinga
Mpaka unakubali kuoa maana yake nguvu za kupiga mitii unazo.
Peleka motoo vijana🤸
Yes, ni kuelewa position yako tu kwenye Game hupati shida angelica na Mtu mzima alafu angeona kila mtu angelica upande wake yaani unataka dogo dogo ipo Prime alafu utaki u-pay for that.Aelewe hakuna kijana mwenye hela zake na mishe za kueleweka atakubali kuoa mshangazi. Vijana wanamkubali kwa sababu anawalipa halafu wao wanaenda kuenjoy na watoto wabichi.
Anapoishiwa hela za kuwalipa awe anakaa kimya siyo kuanza kuropoka kwenye mitandao kwa sababu muda wake ulishapita.