Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

Vijana wadogo wana nyanyaswa na Mishangazi, serikali iingilie kati...! Kukosa pesa ni changamoto sana. Mara mimi natafuta hiki yeye hachangii chochote, namuacha kalala.
Vibenten wanawekeza kwenye sex. Ni wateja wakubwa wa vumbi la Kongo.
 
Shida anapenda kuwa mlezi wa wana.nikukumbushe pesa ya mwanamke sio yako mapenzi yakiisha haya ndio utokea
 
Shilole bwana!!!!
Sasa unapenda vibenten halafu unataka uishi navyo kama unadate na mtu mwenye Akili timamu???
Kabisa mkuu ata ningekua mimi wala nisinge hangaika na lolote wala chochote zaidi ya kuwa mpiga miti tu
 
Huyo mwanamke anaonekana mkorofi, na mkoloni sana.
Mbona Bi Hadija hakuwa anayasema haya kwa Mtume ? Mwanamke hana staha huyo kazi kutembea na vitoto tu
 
Mnawatia aibu wazee wenu!
Ushindwe kwenda kutafuta hela ya kula kisa umekesha unampa mke haki yake!? Sababu ya kijinga

Mpaka unakubali kuoa maana yake nguvu za kupiga mitii unazo.
Peleka motoo vijana🤸
Ayaaaaa umechana mkeka
 
Ukishaacha ndoa mara moja huoni shida kuachana na wengine.
 
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda
kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala,
nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata
elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha
anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe.
Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki
hana maana kwangu"- Shishi

MSHANGAZI UNA MASIMANGO
 
Attachments

  • 12E2FC57-6E87-4819-890B-92ADB7BB4711.jpeg
    12E2FC57-6E87-4819-890B-92ADB7BB4711.jpeg
    1.4 MB · Views: 1
 
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
View attachment 3027356
My take : Yawezekana Shishi alikuwa ana mtumikisha sana huyu Kijana na Yeye anapoondoka asubuhi huyu Kijana anakuwa hana nguvu kabisa baada ya kutumika sana usiku.
Shida ya Shilole hatongozwi bali anatongoza sasa sijui analalamika nini.
 
Ushoga unaongezeka sababu wanaume wanasahau majukumu yao wanapenda mteremko!

Hata kama mke anakuzidi kipato mwanaume jitutumue kutafuta pesa na kubeba majukumu hiyo ndio sifa yenu
Hata kwa kidogo, inaleta heshima kwako
Mtawaonea mapunda tu. Yaani wewe haushindi nyumbanu kunihudumi il wewe unataka uhudumiwe?
 
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
View attachment 3027356
My take : Yawezekana Shishi alikuwa ana mtumikisha sana huyu Kijana na Yeye anapoondoka asubuhi huyu Kijana anakuwa hana nguvu kabisa baada ya kutumika sana usiku.
Kijana hana makazi maana analialia tu??? Watoto wetu wa kiume lazima wajifunze kuwa responsible
 
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"-
View attachment 3027356
My take : Yawezekana Shishi alikuwa ana mtumikisha sana huyu Kijana na Yeye anapoondoka asubuhi huyu Kijana anakuwa hana nguvu kabisa baada ya kutumika sana usiku.
Huyo my take :😅😂😂😂
 
Back
Top Bottom