Shilole na Nuhu Mziwanda waanikana mtandaoni

Yaani hawa wawili huwa siwaelewi na vituko vyao, ila vinanipaga kicheko nazidi kutozeeka mie.

Huo mwimbo na kideo nitaangalia nione kama kuna kituko
Nuhu na Shilole ni kama futuhi...hivi Nuhu hana ndugu?
 
Bado nashangaa kuwa watu mnapataje muda wa kufuatilia vitu vya kipuuzi kama hivi......ina maana hamna shughuli za kufanya au ??

Mkuu hayo mambo yako inst...yaan mtoto wa kiume akiwa inst huwa na mdharau ata iweje yan!!kuna demu wangu mmoja nimemtia kibuti kisa kuwa busy na mambo ya kijinga kama hawa...
 
Mkuu hayo mambo yako inst...yaan mtoto wa kiume akiwa inst huwa na mdharau ata iweje yan!!kuna demu wangu mmoja nimemtia kibuti kisa kuwa busy na mambo ya kijinga kama hawa...
Mkuu unajua una vituko sana ..yani unasema hupendi jambo lakini bado unalifatilia na kulijadili...
 
Nuhu na Shilole ni kama futuhi...hivi Nuhu hana ndugu?

he he heeee wapo, nimepata hamu ya kumjua kizaidi Nuhu nitazidi kusoma anapoandikwa sasa labda mtu atayashusha zaidi. Nakumbuka iliandikwa hawakupenda awe na Shilole na hakuwasikia walichosema now miezi miaka inayoyoma labda walichoka
 
Nasikia shishi kafunguka Clouds kuwa finally amemtosa Nuhu.
#amsowonders
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hayo mambo yako inst...yaan mtoto wa kiume akiwa inst huwa na mdharau ata iweje yan!!kuna demu wangu mmoja nimemtia kibuti kisa kuwa busy na mambo ya kijinga kama hawa...
Mwanasaliboko hujaitwa hapa, unamdharau kwa kua bando kaekewa na dingi ako?
we unatafuta nini celebrities forum pmb wewe sijui kikuna sijui kikum" utajua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…