Acha kuchanganya mambo hapo,kilichozuiliwa hapo ni ndoa ya Mwanafunzi,uliwahi ona wapi polisi wakija kuzuia ndoa ya mtu mwenye zaidi ya miaka kumi na nane na ambae siyo mwanafunzi,huyo msichana hapo ni mwanafunzi,tena mwanafunzi wa sekondari,bora angekuwa chuo,na awe na zaidi ya miaka kumi nane,hakuna ambae angeenda kuzuia hiyo ndoa.
Swadakta kabisa. Wakiulizwa ni mwanafunzi wa shule gani watajibu nini? Wakipata mwanasheria mzuri hakika mkuu wa mkoa na wafuasi wake wataaibika sana.Huyo ni mwanafunzi wa shule gani?
Huyo binti kisheria sio mwanafunzi.
Maana ameshamaliza form 4 na bado hajaanza form 5. Hivyo sio mwanafunzi.
Na pia kwenda form 5 sio lazima ni uamuzi wake.
HAKUNA SHERIA YOYOTE ILIYOVUNJWA. NDOA NI HALALI
Tuache kuingilia maamuzi ya familia kwa sababu wanaelewa bint zao kuliko watu baki ila tujikite kwenye kuelimisha watoto wakike vijijini na kutoa muamuko kwa wazazi.Kila mtu na maisha yake na bahati zake wazazi wa bint X wa meamua kuozesha bint yao kwa kijana msomi kijijini kwao anae miliki maduka ya holiselo na kituo cha mafuta, ili amsaidie kuendesha biashara kama mwana familia kwa kulidhia pande zote mbili wazazi wa bint na wa kijana tajiri.
Inakua je police inakuja kuvamia shughuri za harusi na kupiga wazazi na bibi harusi watakua wamevunja sheria ipi? bint wengi wana elimu ya juu ila wengi wanakosa ajira na ndoa na wanatamani sanaa bora wapate ndoa.
kwani mtu akiwa anapenda kusoma mpaka chuo kikuu hawezi kujiendeleza akiwa kwenye ndoa, kupata ndoa ni ngumu kuliko kupata ajira siku hizi huyu bint kalata vyote kosa lake liko wapi? kwani police ina weza kupenda mwanao kuliko mzazi wa mtoto? Wakisema kulinda elimu ya mtoto wakike tunakalilishwa na kuondoa reasoning bint wa miaka 20 na kamaliza form 4 ana utashi (passion) zake, kwanini alazimishwe kusoma form five na six wakati yeye kaona mwanga kwenye kuolewa.
Pumbafu wanaingilia maamuzi ya mtu ikifika kwenye swala la ajira wajitoaIkiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.
Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la kuozeshwa binti aliyefaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Wazazi wameona ni bora mtoto huyo akaolewe na kukatiza ndoto zake za kuendelea na maso.
=====
Jioni ya jana timu ya wataalam mbalimbali ikiambatana na Mhe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christine Mndeme na vyombo vya DOLA wamefika katika kijiji cha Mwawaza na kufanikiwa Kuzuia NDOA ambayo Bi Harusi ni Mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano ila wazazi wake wakaamua KUMUOZESHA Sasa Hawa Wazazi watajua kuwa Shinyanga ya Mndeme ni ya ELIMU na SIYO kuoa WANAFUNZI.
Mwanafunzi haijalishi kuwa ameenda shule au hajaenda shule,taarifa inasema kwamba anatarajiwa kuingia kidato cha nne, kwa maana hiyo bado anahesabika kama mwanafunzi,kama angekuwa hayupo katika mahesabu ya kwenda shule, basi ungekuja kutetea hoja yako hii dhaifu.Huyo ni mwanafunzi wa shule gani?
Huyo binti kisheria sio mwanafunzi.
Maana ameshamaliza form 4 na bado hajaanza form 5. Hivyo sio mwanafunzi.
Na pia kwenda form 5 sio lazima ni uamuzi wake.
HAKUNA SHERIA YOYOTE ILIYOVUNJWA. NDOA NI HALALI
Mwanafunzi haijalishi kuwa ameenda shule au hajaenda shule,taarifa inasema kwamba anatarajiwa kuingia kidato cha nne, kwa maana hiyo bado anahesabika kama mwanafunzi,kama angekuwa hayupo katika mahesabu ya kwenda shule, basi ungekuja kutetea hoja yako hii dhaifu.
Kama utasema huyo bado hajaenda shule,basi na hawa wengine wakiwa likizo tutasema hivi hivi kwamba bado hawapo shuleni, na kama kwenda shuleni ni hiyari, kwanini asingejitoa kwenye uanafunzi, lakini haiwezekani mtu bado upo kwenye mahesabu ya wanafunzi halafu aje mtu kusema kwamba eti shule ni hiyari,hivi unajua kweli kidato cha tano na sita bado ni wanafunzi ama na wewe tukupe mtihani wa uelewa
Uliza mwaswali yenye akili,taarifa inasema anakwenda kujiunga na kidato cha tano,wewe unakuja na maswali anakwenda shule gani.Hujajibu swali langu , Bibi harusi ni mwanafunzi wa shule gani ? Na anasoma kidato cha ngapi ?
Nijibu haya maswali ili tujue sheria gani imevunjwa
Uliza mwaswali yenye akili,taarifa inasema anakwenda kujiunga na kidato cha tano,wewe unakuja na maswali anakwenda shule gani.
Imetumika lugha tahisi sana, huyo ni Mwanafunzi,we unakuja kuuliza shule gani.
hii inaashiria hata uwezo wako wa kufahamu kidato cha tano ni kitu gani bado ni uwezo mdogo sana.
Mtoto kwa huyo bint anamiaka mingapi…?Kama mtu anataka kudanga,adange tu,ila asiwe mtoto wala mwanafunzi,kusoma na kupata ajira ni ishu nyingine,muache asome,siyo unakuja kusema eti kwa sababu ajira hakuna basi asisome,kha ya wapi haya.
Halafu mbona unakomalia sana huyo mwanafunzi kuolewa,au na wewe ndo wale wale
Eeh sifungwi…Advance yaani form V na VI ni chuo? Kwani ukimpa mimba mwanafunzi wa form 5 au 6 hufungwi?
Haujui kodi yako ndo inamlipa huyo polisi….kwa kifupi wewe ndo umemuajiri polisi kuwa makini Paza sautiwe kafanye mambo yako, mambo ya polisi waachie wenyewe, mnajifanya mnajua kila kitu kumbe zero.
Ongezea apo mkuu na mwanafunzi Ana miaka 19Huyo ni mwanafunzi wa shule gani?
Huyo binti kisheria sio mwanafunzi.
Maana ameshamaliza form 4 na bado hajaanza form 5. Hivyo sio mwanafunzi.
Na pia kwenda form 5 sio lazima ni uamuzi wake.
HAKUNA SHERIA YOYOTE ILIYOVUNJWA. NDOA NI HALALI
NilikataaBinti alikubali au alikataa?