Inashangaza, hii nguvu pia ingetumika kuzuia zinaa, maana kama walikua wanafanya kwa kujificha hakukua na shida, wamefuata njia sahihi watu wanaingiliaMabinti kuolewa wala hakukatishi ndoto ni kukariri maisha tu.
Rais wa nchi hii alihitimu kidato cha nne 1977 na mwaka 1978 akaolewa!
Ndoto zipi hajatimiza?
Sio kazi ya serikali kupambana na zinaa, hayo ni mambo ya dini.Inashangaza, hii nguvu pia ingetumika kuzuia zinaa, maana kama walikua wanafanya kwa kujificha hakukua na shida, wamefuata njia sahihi watu wanaingilia
Sasa hao ni waumini gani ambao walikuwa wanapata mafundisho ya Mapenzi ya jinsia moja? Waende madhehebu mengine ambayo yanafundisha Kweli ya Neno la Mungu siyo mafundisho machafu kama hayo!
Umejuaje? Mbona Binti ana furaha kabisa na ndoa yake?Issue sio umri hapo, unakuta Binti kalazimishwa kuolewa pasipo ridhaa yake na hivyo kuzuiwa kuendelea na masomo.
hatukula hata.
Daah ukute hapo muda wa mpunga ulikuwa ndio unakaribia alafu umewaambia nyumbn msipike Leo naenda kula harusini.Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.
Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la kuozeshwa binti aliyefaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Wazazi wameona ni bora mtoto huyo akaolewe na kukatiza ndoto zake za kuendelea na maso.
=====
Jioni ya jana timu ya wataalam mbalimbali ikiambatana na Mhe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christine Mndeme na vyombo vya DOLA wamefika katika kijiji cha Mwawaza na kufanikiwa Kuzuia NDOA ambayo Bi Harusi ni Mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano ila wazazi wake wakaamua KUMUOZESHA Sasa Hawa Wazazi watajua kuwa Shinyanga ya Mndeme ni ya ELIMU na SIYO kuoa WANAFUNZI.
What if kama kungetokea vurugu unafikir hao polisi wangejihami vipi ?Kwenye mambo ya kutumia akili tunatumia nguvu kubwaa polee Tanzania…..sasa bunduki za nn apo,Aya tuseme bint alikuwa na mpango wa kwenda chuo
Hapo itakuwa ni Kuna mwamba alimtaka binti kachomoa kamwambia tutaona akamchoma policeSerikali kujua yote yaliyonyuma ya hiyo ndoa ni jamii yenyewe waliotoa taarifa na unaweza kukuta ni Binti mwenyewe au ndugu baada ya kutokubali ndoa ifanyike.
Ili kuzuia hii Tabia kuenea kwa wengineHii nchi sasa viongozi wamekosa Kazi ya kufanya......
Binti anautaka mwenyewe mkongojo......!wanaingilia faragha za watu......
Wakati kuna Kazi nyingi tu za wao kufanya hata kumshauri mama kuhusu Bandari zetu kuuzwa...
Wao viongozi hiyo ndiyo Kazi pekee wanayoweza kuifanya.....kuingilia mapenzi watu walioridhiana kwa hiari yao.
Nonsense!
SheriaPolisi wamezuia under what ground
Akili ya kusoma anayo? Maisha Sio shuleKama mtu anataka kudanga,adange tu,ila asiwe mtoto wala mwanafunzi,kusoma na kupata ajira ni ishu nyingine,muache asome,siyo unakuja kusema eti kwa sababu ajira hakuna basi asisome,kha ya wapi haya.
Halafu mbona unakomalia sana huyo mwanafunzi kuolewa,au na wewe ndo wale wale
Lolote linaweza kutokea mkuu lazma ujihamiKwenye mambo ya kutumia akili tunatumia nguvu kubwaa polee Tanzania…..sasa bunduki za nn apo,Aya tuseme bint alikuwa na mpango wa kwenda chuo