Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

Kwani hapa Bongo Elimu ya lazima ni mpka ufike level gani!?
Hapa wamezingua mtu amehitimu form four akili yake tiari imeshakomaa kuendelea kusoma na kuto endelea kusoma ni mamuzi yake yeye mwenyew kuamua siyo kuamuliwa .

Sjui hapa ni kigezo gani kimetumika kuvuruga harusi ya huyo binti
Kuna kingine zaidi ya mihemko na kiki za kijinga
 
Huo ni unyanyasaji wa kumnyima binti haki yake ya kupigwa "paipu" dushe.
Mwacheni afurahie mgegedo hevi masomo atasoma tu hao waliosoma wengi hawana kazi na wenye kazi ni wezi na wala dili mwacheni binti afanye kinachofaa kwake.
 
Haya Kanda ya ziwa once again
Manyocolo zao
Hawaachi tu mambo yao
 
[emoji16][emoji16][emoji16]ili jamaa limewaza mbali sana, huwezi waza ivi kama muda huo huna njaa
Mm nikisikiaga sherehe yyte jambo la kwanza linalokuja kichwan ni kula tu mengine sio issue, nikichangia harusi ukaja nipa vireja na maji utarudisha mchango wangu.
 
Hawa washenzi, kwani Binti hawezi kuolewa akaendelea na shule? Hii ni kuzuia maamuzi binafsi ya watu

Walimu mnawapa kazi sana na mishahara mbuzi, sasa huyu binti aliyepelekwa shule na SMG unategemea atasoma kweli
Ni watu werevu pekee ndiyo wataelewa hiki ulichoandika hapa.
 
Ni watu werevu pekee ndiyo wataelewa hiki ulichoandika hapa.
Kama Binti ameridhika wamuache tu, vijana watengeneza familia hata kwa kilimo na ufugaji watatoka tu, vijana wa vijijini wengi wamepiga hatua unakuta ana kajumba,shamba na mifugo mingi tu, huku mjini tukishapanga self na kumiliki I phone tunaona maisha tumeyaweza, alafu kwa ajira zipi watu walazimishwe kusoma kwa kushikiwa SMG?
 
Kwa umri alionao binti ni wazi kuna uhakika 💯% kuwa alianza mahusiano na huyo bwana yake muda mrefu wakati akisoma, na inawezekana kabisa yeye ndiye alishinikiza kuolewa na siyo wazazi. Na inawezekana alitoa vitisho kuwa wazazi wasipomruhusu kuolewa, shule hataenda na atafanya kitendo kibaya cha kujidhuru, kuzalia nyumbani, nk, maan mabinti wa sasa ni pasua kichwa. Ili kutimiza matakwa yake wazazi ndiyo wakaona isiwe tabu wakaridhia. Hizi sheria lazima ziangaliwe upya, kuna watoto wakiamua jambo lao hakuna kurudi nyuma. Sasa kwa mazingira niliyoelezea hapo ingawa ni assumptions zangu tu mzazi ana kosa gani na ukiangalia binti ana 18+ yrs old.

Nina uhakika huyo binti hata akienda shule hatamuacha mumewe, in short atakuwa mwanafunzi kwa kulazimishwa na MKE wa mtu wa ndoa. Likizo ikifika tu huyoooo kwa mumewe kumpikia na kusarambuana.
 
Hii nchi ya hovyo sana yaani binti kapata bahati ya kuolewa lakini serikali dhalimu inakuja kuharibu mipango, sijui wanataka mabinti wadangaji waongezeke huko vyuoni, sijui wanataka tuongeze idadi ya masingle mother? Tabu sana hii nchi
IMG-20230619-WA0005.jpg
 
Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU.

Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la kuozeshwa binti aliyefaulu na kuchaguliwa kwenda kidato cha tano. Wazazi wameona ni bora mtoto huyo akaolewe na kukatiza ndoto zake za kuendelea na maso.

=====
Jioni ya jana timu ya wataalam mbalimbali ikiambatana na Mhe Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christine Mndeme na vyombo vya DOLA wamefika katika kijiji cha Mwawaza na kufanikiwa Kuzuia NDOA ambayo Bi Harusi ni Mwanafunzi aliyechaguliwa kuingia kidato cha tano ila wazazi wake wakaamua KUMUOZESHA Sasa Hawa Wazazi watajua kuwa Shinyanga ya Mndeme ni ya ELIMU na SIYO kuoa WANAFUNZI.

Wajinga kweli, wamefanya kosa gani. Binti ni over 18.
 
Maccm bana kazi kutumia nguvu,suala la elimu ni hiari ya mtu.
Or else km binti yupo under 18.
Kuna comedian Jana nilimsikiliza, Naona anawazidi akili wote waliokwenda kuharibu shughuli ya Watu, Nanukuu, alisema Kwa mwanamke Kuna choices tatu, Kusoma, kutafuta Maisha na kuolewa, na Sio lazima upitie yote!! Unaweza kuruka yote na kuamua kuolewa kujenga familia, au unaweza ukaamua kutafuta Maisha, au Zaidi Zaidi ukaamua kusoma then ukaolewa!! Sasa hao Polisi wanakereka na nini!? Kuharibu Maisha ya Watu!?
 
Huu ni wivu uliopitiliza, unaweza kukuta Hata huyo RC Hana Mume Sasa elimu yake imemsaidia Nini kukuza familia!?
 
Mwanafunzi haijalishi kuwa ameenda shule au hajaenda shule,taarifa inasema kwamba anatarajiwa kuingia kidato cha nne, kwa maana hiyo bado anahesabika kama mwanafunzi,kama angekuwa hayupo katika mahesabu ya kwenda shule, basi ungekuja kutetea hoja yako hii dhaifu.
Kama utasema huyo bado hajaenda shule,basi na hawa wengine wakiwa likizo tutasema hivi hivi kwamba bado hawapo shuleni, na kama kwenda shuleni ni hiyari, kwanini asingejitoa kwenye uanafunzi, lakini haiwezekani mtu bado upo kwenye mahesabu ya wanafunzi halafu aje mtu kusema kwamba eti shule ni hiyari,hivi unajua kweli kidato cha tano na sita bado ni wanafunzi ama na wewe tukupe mtihani wa uelewa
Acha kudanganya watu sheria ya ndoa imeruhusu mtoto wa miaka kumi na nne kuolewa kwa ridhaa ya wazazi Kama wazazi wamekubaliana wewe unaingilia Nini?. Halafu kitu kingine elimu ya msingi ni form four kwa Sasa. Sasa kashavuka huko Bado mnamfuatilia.
 
Uliza mwaswali yenye akili,taarifa inasema anakwenda kujiunga na kidato cha tano,wewe unakuja na maswali anakwenda shule gani.
Imetumika lugha tahisi sana, huyo ni Mwanafunzi,we unakuja kuuliza shule gani.
hii inaashiria hata uwezo wako wa kufahamu kidato cha tano ni kitu gani bado ni uwezo mdogo sana.
Anakwenda kujiunga na shule gani?. Kama yet binafsi amahairisha kusoma anataka kufanya mambo mengine utamlazimisha?. Mnaingilia ndoa lakini madangaji mnayashobokea.
 
View attachment 2661940

Timu ya Wataalamu wa msaada wa kisheria kutoka Mama Samia Legal Aid Campaign ikishirikiana na RC wa Shinyanga, Christina Mndeme na Jeshi la Polisi Shinyanga wamefanikiwa kuzuia ndoa ya Binti aliyefaulu kuingia kidato cha tano lakini Wazazi wake waliamua kumuozesha katika kijiji cha Mwawaza nje kidogo ya Manispaa ya Shinyanga.

Timu hiyo ilifika eneo la tukio na kushuhudia zoezi la uzuiaji na kukamata walengwa ambapo RC wa Shinyanga amesema ndoa hiyo ililenga kuzima ndoto za Binti huyo.

Mndeme amesema Mkoa wa Shinyanga hauko tayari kuona Watoto wa kike wanashindwa kufikia ndoto zao kwa ajili ya Wazazi wachache wenye tamaa ya mali, ambapo ameagiza Wazazi hao ambao wametoweka kufika Kituo Kikuu cha Polisi Mjini Shinyanga “Serikali ya Mkoa wa Shinyanga itasimamia Binti huyu apate haki ya msingi ya kupata elimu ili aweze kufikia ndoto zake”
Cheap popularity. Hakuna kitu hapo.
 
Back
Top Bottom