Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa Chadema ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala
====
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Masalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.

Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (Chadema), Mheshimiwa Salum Mwalimu, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi, Omary na Dereva, Haule.

Gari ilipinduka kuzunguka mara tano.

Mpaka sasa wote tupo salama, labda kama kutakuwa na maumivu ya ndani.

View attachment 1576350
Mungu ni mwema WAMENUSURIKA na kifo na WAMESALIMIKA na majeraha
 
Poleni sana,Mungu awaongezee ulinzi wake,

Ongezeni umakini pia kwa Mgombea uraisi huko barabarani,Gari ya Lissu ikaguliwe kila kituo kwa umakini,mashetani hawachelewi kulegeza nati.
 
Picha za ajaliView attachment 1576400
IMG-20200921-WA0231.jpg
View attachment 1576402View attachment 1576401
 
Back
Top Bottom