Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

Kama dereva anachoka sana apate msaidizi angalau wapokezane baada ya kilomita 500.

Halafu mikutano ipunguzwe ili kuepusha gari kupelekwa mwendo kasi sana ili kuwahi.

Halafu siyo lazima sana gari za viongozi kuendeshw speed sana.

Hiyo ajali chanzo itakuwa mwendo kasi ndiyo maana ikapinduka mara 5.

Huwa sioni mantiki gari za viongozi kuendeshw kasi kupitiliza.

Tanzania bado tuna barabara mbovu na au finyu kumudu mwendo kasi.

Halafu kuendesha gari rafu na au kwa kasi sana siyo udereva Bora.

Dereva bora hufuata sheria na busara akiwa barabarani.
 
Mgombea wa udiwani wa kata hiyo ni mtoto wa mganga wa kienyeji juzi alikuwa na mkutano kakola alisema chadema hawamuumizi kichwa na Hana haja ya kupiga kampeni kumbe kweli
 
Mkuu kuna mgombea udiwani ni mtoto wa mganga wa kienyeji aliwambia wasikanyage huko wakawa wabishi
 
Mgombea wa udiwani wa kata hiyo ni mtoto wa mganga wa kienyeji juzi alikuwa na mkutano kakola alisema chadema hawamuumizi kichwa na Hana haja ya kupiga kampeni kumbe kweli
Dah,kama uchawi unafanya kazi mbona Jiwe anahangaika mpaka anachanganyikiwa sasa
 
Hiki ni kipindi muhimu sana. Acha kutoa habari zisizokamikilika. Kumbuka Mwalimu ni mgombea mwenza. Usilete habari kama unaripoti ajali ya mchumba wako. Tulia.
Mkuu bado huja amini?
 
Dah,kama uchawi unafanya kazi mbona Jiwe anahangaika mpaka anachanganyikiwa sasa
Hakuna kampeni kwenye hiyo kata hata mama samia akiambiwa asende akatii, makamanda wa kakola wamemwingiza chaka walitaka kimpima kama ni mzima kwenye mizizi, wao wanaita Kukoki
 
Poleni sana, Mungu atampa nafuu kama kaumia na kumuepusha na ajali nyingine yeyote kabla ya kumaliza kampeni. Malaika wamkinge muda wote.
 
Harakati za kumtoa Mtu Chamwino siyo Mchezo.

Pole sana Mwalimu na wote mliokuwamo ndani ya gari hiyo.

Mwenyezi Mungu awasimamie mpate kupona muendelee na Kampeni..Ameen.
 
Mkoa wa Geita hakuna Barabara za lami.wagombea mkifika Huko muwe Makini na hizi Barabara. Salim pole sana
 
Mungu asimamie wawe salama kusiwe na matatizo ya ndani ya miili yao
 
Mkoa wa Geita hakuna Barabara za lami.wagombea mkifika Huko muwe Makini na hizi Barabara. Salim pole sana
ni madereva masharobaro tu, police wamkamate na kumsweka ndani, tata za bedui zinapitaga zimefuta mshale, sasa hizo mbavu za mbwa ndio ziangushe gari kweli, ujinga tu
 
Back
Top Bottom