Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Kama dereva anachoka sana apate msaidizi angalau wapokezane baada ya kilomita 500.
Halafu mikutano ipunguzwe ili kuepusha gari kupelekwa mwendo kasi sana ili kuwahi.
Halafu siyo lazima sana gari za viongozi kuendeshw speed sana.
Hiyo ajali chanzo itakuwa mwendo kasi ndiyo maana ikapinduka mara 5.
Huwa sioni mantiki gari za viongozi kuendeshw kasi kupitiliza.
Tanzania bado tuna barabara mbovu na au finyu kumudu mwendo kasi.
Halafu kuendesha gari rafu na au kwa kasi sana siyo udereva Bora.
Dereva bora hufuata sheria na busara akiwa barabarani.