Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Masalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.

Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (Chadema), Mheshimiwa Salum Mwalim, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi, Omary na Dereva, Haule.

Gafi ilipinduka kazunguka mara tano.

Mpaka sasa wote tupo salama, labda kama kutakuwa na maumivu ya ndani.

View attachment 1576359View attachment 1576360
Mola awawekee mkono wa uponyaji mrejee kwenye afya yenu mapema itakavyompendeza. Kwake kila kitu kinawezekana
 
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Masalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.

Kwenye gari alikuwepo Mgombea Umakamu wa Rais (Chadema), Mheshimiwa Salum Mwalim, Katibu wa Makamu wa Rais, Gerva Lyenda, Mlinzi, Omary na Dereva, Haule.

Gafi ilipinduka kazunguka mara tano.

Mpaka sasa wote tupo salama, labda kama kutakuwa na maumivu ya ndani.

View attachment 1576359View attachment 1576360
Mungu Mkubwa.
Get well soon.
P
 
Mmeanza kuongeza yale machumvi yenu tena
 
Back
Top Bottom