#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

Mabeberu yanajiandaa kutuminya mahali.
 
Bwashee kwa sasa kuvaa au kutovaa barakoa ni hiyari ya mtu hakuna kulazimishana.

Pale muhimbili hauingii bila kuvaa barakoa, unaelewa maana yake?
Namba kulazimishana! Labda nyumbani kwako, tafuta taarifa toka Moshi kikao cha madiwani.
 
Hee kumbe mikwara yote ni kwa sababu serikali haina pesa? Sasa huo utajiri wa tanzania anaopigia kelele kila siku upo kwenye nini?
Sijasema hivyo!

Lakini wanaposema tujiandae kupokea chanjo, chanjo kutoka wapi? Si lazima tuagize kwa kutoa hela ili watuletee? Sasa tusipotoa hela inakuwaje?

Mwisho wa siku watazileta bure.

Si umeona South wamenunua kwa bei mara 2 ya bei ya sokoni?
 
Hakumbuki kama aliwahi kuleta dawa toka madagascar,akatumia yeye na familia yake tu.Huyu mtu ni mbinafsi sana
 
Hii ni habari njema sana. Ile mijamaa ya chama fulani imechutama karibu yote kama mi nanihii.

Inasubiri amri tena tokea kwa master. Ikumbukwe inatakiwa kutotofautiana naye hata kwa kama.

Hiiii bagosha.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Habari njema vipi sasa kwani lazima? Si lazima tutoe hela ili walete hizo chanjo? Vipi tusipotoa?
 
Hatuangalii historia we mtu mwetu mweusi..huyuu ndo atakuwa wa kwanza kushinda hao waume zako beberuru..alaf kizaz chako cha vilaza ndo kitaanza kutambua kuwa kuna rais wa africa aliewah kuahinda beberu..
Duh wasukuma bwana. Hujui bila chanjo watoto wasinge survive dhidi ya surua, polio na magonjwa mengineyo. Wakati huwa nafikiria nyie sio watu bali maroboti
 
Sisi ni matajiri ila hatuna hela
 
Sijui kwanini mabavicha huwa mnajidharau sana,?
 

Hivi makamasi ni kitu gani mwilin?i
 
Hapo mke anapomgomea bwana ake kulala kibra [emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati aliapa kwa shida na raha....,na Raha za misaada kwakua hatuwezi kujitegemea tujaendeshea ving'ora kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…