UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hata mimi sijaelewa kama ni lazima kuchanjwa hizo chanjo maana bado zipo kwenye majaribio.Bado sijaelewa hii chanjo ni hiari ya mtu au ni lazima kila mwananchi anatakiwa apate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sijaelewa kama ni lazima kuchanjwa hizo chanjo maana bado zipo kwenye majaribio.Bado sijaelewa hii chanjo ni hiari ya mtu au ni lazima kila mwananchi anatakiwa apate
Kwahiyo binadamu wengine hawa develop hiyo kinga sisi tuliyonayo??natural immunity has already built in our body, ugonjwa umetokea mwaka jana mpaka leo tupo it's means our bodies are resistitive to that diseases.
Mkuu hukuwahi kupata chanjo yeyote toka utoto mpaka umri huo ukajua maana yake Mkuu ??Kwani hio Chanjo kazi yake ni nini?
Mkuu wakenya wapo ambao hawaamini kama kwao kuna corona huona ni michezo tu ya serikali.Kwahiyo binadamu wengine hawa develop hiyo kinga sisi tuliyonayo??
Wakenya, Waganda n.k hawana hizo natural immunity tulizonazo?
Mkuu mbona chanjo za Pepopunda, Kifua kikuu, polio n.k tumechanjwa, hii ya covid19 ina nini tuikatae??Tatizo unaongea unavyowaza sio uhalisia ulivyo. Maadam afya ni yako uamuzi ni wako. Hakuna chanjo ya gonjwa jipya ambalo hata wataalam hawajalijua vyema inatoka ndani ya muda mfupi. Kila la kheri katika kuwasaidia kufanya majaribio!
DuhMkuu wakenya wapo ambao hawaamini kama kwao kuna corona huona ni michezo tu ya serikali.
Fanya homework yako. Hizo chanjo zilanza kufanyiwa utafiti lini zijafanyiwa majaribio muda gani kabla ya kunza kutumika?Mkuu mbona chanjo za Pepopunda, Kifua kikuu, polio n.k tumechanjwa, hii ya covid19 ina nini tuikatae??
Ina maana viongozi tulionao sasa ni bora kuliko Nyerere aliyeruhusu hizo chanjo??
Ata kwa bakora sipo tiariUkute hizo chanjo zinaua nguvu za kiume na kutia use*ge.
Wangapi mpo tayari kuchanjwa?
Me bora nife hawa wajinga hawana nafasi ya kuni danganyaKwa hivyo tutachanjwa kwa lazima whether we like it or not!
Mimi nasimama na Jiwe hachanjwi mtu hapa hahaa!
Duh
Basi kazi ipo
Hayo makubaliano hayakuwa ya kuhusu covidMpaka kitaeleweka tu. Meko kama kawaida aliropoka tu bila kujua kwamba anabanwa na makubaliano ya Kiafya ya WHO.
Wewe tulia waje wakupime kwa kukuinamisha wachokonoe hiyo tigo yako ndio utajua hujui.mkiambiwa mnaburuzwa na ZWAZWA wenu matokeo ndio haya
Izo buku 7 unazokula zinatoka kwao lazima utapokea tu chanjo huna namna, mpaka utakapoacha kuzungusha bakuli la kuomba omba ndio hutalazimishwa kupokea izo chanjo, ni kama mwanamke ashaekulilia vyako anakuwa hana namna lazima faragha ipatikaneWaambie hatutaki huo msaada wa mabeberu, nchi hii ni tajiri sana[emoji23][emoji23]
Sawa MkuuFanya homework yako. Hizo chanjo zilanza kufanyiwa utafiti lini zijafanyiwa majaribio muda gani kabla ya kunza kutumika?
Ukiisha kupata majibu rudi hapa tuendelee!
Corona ni man made, ugonjwa uliotengenezwa maabara. Tofauti na hayo magonjwa mengineJE KUNA MTU HAPA AMBAYE HANA CHANJO! Naona watu wanaongea kama vile hawana chanjo kwanini bado tunawapeleka watoto wetu kwenye chanjo? na hizi zetu tulizonazo zilitengenezwa wakati wa ubaguzi kuliko leo!!. Zamani kulikuwa kuna ukoma umekomeshwa na chanjo sio watu kuongea pumba za vijiweni. Kama tulivyosema wasiotaka haina shida tutaweka akiba huwezi kulazimisha watu wazima lakini hatuwezi kuwaacha wazazi wetu bila chanjo kama zipo. wasiotaka waendelee kuongea na kutunga stori za mabeberu!
Kushikiwa akili ni shida kweli!!nyie tumeshawazoea huwa mna akili za kushikiwa tu, (kufuata upepo)kesho meko akisema kuwa hizo chanjo zimeagizwa na zitaanza kuwasiri nchini , mtajitokeza tena kuanza kumpongeza kuwa ni rais msikivu!!yaani hata huwa hamueleweki!!!hilo suala la chanjo halina mjadala ni suala la muda tu!!kuna mambo ya kimataifa, hasa yahusuyo afya kwa wananchi wako, sio yako tu kama rais!!Mimi
Mimi na watanzania hatutabanwa kifua! Labda wewe na familia yako ksma mnatamani saana kubanwa na kifua kabebeleeni hizo chanjo msijaze kwenye majokofu kwa akiba! Aliyekuambia zina tibu ni nani huyo!? Jidunge sumu tu urudishe namba mapema!