#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

natural immunity has already built in our body, ugonjwa umetokea mwaka jana mpaka leo tupo it's means our bodies are resistitive to that diseases.
Kwahiyo binadamu wengine hawa develop hiyo kinga sisi tuliyonayo??

Wakenya, Waganda n.k hawana hizo natural immunity tulizonazo?
 
Kwahiyo binadamu wengine hawa develop hiyo kinga sisi tuliyonayo??

Wakenya, Waganda n.k hawana hizo natural immunity tulizonazo?
Mkuu wakenya wapo ambao hawaamini kama kwao kuna corona huona ni michezo tu ya serikali.
 
Tatizo unaongea unavyowaza sio uhalisia ulivyo. Maadam afya ni yako uamuzi ni wako. Hakuna chanjo ya gonjwa jipya ambalo hata wataalam hawajalijua vyema inatoka ndani ya muda mfupi. Kila la kheri katika kuwasaidia kufanya majaribio!
Mkuu mbona chanjo za Pepopunda, Kifua kikuu, polio n.k tumechanjwa, hii ya covid19 ina nini tuikatae??

Ina maana viongozi tulionao sasa ni bora kuliko Nyerere aliyeruhusu hizo chanjo??
 
Tunakokwenda watanzania tutakuwa hatupati vibali vya kusafiri kwenda nchi nyingine
 
Mimi nashindwa kuelewa ila ndio hivyo binaadamu hutofautiana,wakati huku africa watu huzitaka hizo chanjo kuna watu huko huko zinapotoka bado hawajaziele elewa hizo bado wanasikilizia ila sie huku ndio hatuna mashaka tunazitaka.
 
Mkuu mbona chanjo za Pepopunda, Kifua kikuu, polio n.k tumechanjwa, hii ya covid19 ina nini tuikatae??

Ina maana viongozi tulionao sasa ni bora kuliko Nyerere aliyeruhusu hizo chanjo??
Fanya homework yako. Hizo chanjo zilanza kufanyiwa utafiti lini zijafanyiwa majaribio muda gani kabla ya kunza kutumika?

Ukiisha kupata majibu rudi hapa tuendelee!
 
Waambie hatutaki huo msaada wa mabeberu, nchi hii ni tajiri sana[emoji23][emoji23]
Izo buku 7 unazokula zinatoka kwao lazima utapokea tu chanjo huna namna, mpaka utakapoacha kuzungusha bakuli la kuomba omba ndio hutalazimishwa kupokea izo chanjo, ni kama mwanamke ashaekulilia vyako anakuwa hana namna lazima faragha ipatikane
 
JE KUNA MTU HAPA AMBAYE HANA CHANJO! Naona watu wanaongea kama vile hawana chanjo kwanini bado tunawapeleka watoto wetu kwenye chanjo? na hizi zetu tulizonazo zilitengenezwa wakati wa ubaguzi kuliko leo!!. Zamani kulikuwa kuna ukoma umekomeshwa na chanjo sio watu kuongea pumba za vijiweni. Kama tulivyosema wasiotaka haina shida tutaweka akiba huwezi kulazimisha watu wazima lakini hatuwezi kuwaacha wazazi wetu bila chanjo kama zipo. wasiotaka waendelee kuongea na kutunga stori za mabeberu!
Corona ni man made, ugonjwa uliotengenezwa maabara. Tofauti na hayo magonjwa mengine
 
Mimi

Mimi na watanzania hatutabanwa kifua! Labda wewe na familia yako ksma mnatamani saana kubanwa na kifua kabebeleeni hizo chanjo msijaze kwenye majokofu kwa akiba! Aliyekuambia zina tibu ni nani huyo!? Jidunge sumu tu urudishe namba mapema!
Kushikiwa akili ni shida kweli!!nyie tumeshawazoea huwa mna akili za kushikiwa tu, (kufuata upepo)kesho meko akisema kuwa hizo chanjo zimeagizwa na zitaanza kuwasiri nchini , mtajitokeza tena kuanza kumpongeza kuwa ni rais msikivu!!yaani hata huwa hamueleweki!!!hilo suala la chanjo halina mjadala ni suala la muda tu!!kuna mambo ya kimataifa, hasa yahusuyo afya kwa wananchi wako, sio yako tu kama rais!!
Daaa!!kauli ya juzi ya meko tayari umeshayaamini kuliko watu waliokaa maabara na kuumiza vichwa na pesa ?hatuwashangai hata miaka ile ARV'S cjui kama ulikuwa umeshazaliwa wakati zinaanza kutumika barani Afrika, ukosoaji kama huu ulikuwepo sana!!lakini niambie ni waafrika wangapi wakiwemo ndugu zako, wamefika leo hii kwa msaada wa hizi ARV, ??Mzungu akichomoa betri tu kufadhiri hizi dawa, tutatafutana!!!ukishazoea uongo wa kwenye siasa unataka kuuleta na kwenye mambo ya sayansi?!!
 
Back
Top Bottom