Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Watu watafanya biashara zao na hayo magari: magendo, ubinamu, na mashemeji!
"Mzigo wa bosi huu, na huyu si sekeletali wake? Hujipendi eh?
 
Kuliwahi kuwa na mabasi ya posta miaka ya nyuma mpaka enzi za Mkapa sijui yaliishia wapi.
Yalikuwa yakisafirisha abiria na vifurushi.
 
Yaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu [emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16]
Limekaa ka Basi LA Simba
 
wanaongelea vifurushi vinavyopelekwa posta.. sio kila kifurushi boss..
Posta huwa wanasafirisha barua na vifurushi
 
mwenyewe unaona umetoa PhD material na kudharau wengine 😁 😁
 
Watu watafanya biashara zao na hayo magari: magendo, ubinamu, na mashemeji!
"Mzigo wa bosi huu, na huyu si sekeletali wake? Hujipendi eh?

Useme hapana. Halafu viongozi wako wasimame nyuma yako.

Nyie ndio mna hela, madaraka halafu mnataka vitu vya bure, vipi kuhusu walalahoi.
 
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.

Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Mzee hilo ni suala la muda. Haitachukua muda utayaona njiani yamepaki, mara pancha, mara dereva ana nyumba ndogo, mara zimeishiwa kiwese, mara dereva anapiga kidebe. Mwisho wa siku utasikia sababu miiiingi na kufa kama kawaida yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…