kada maarufu
Senior Member
- Jun 14, 2017
- 149
- 82
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
Huo ujanja wa kula pesa
Kulikuwa na mashirika ya mabasi na malori hapa nchini yote yamefilisika tena kirahisi sana
Leo wanarudia yaleyale
basi 10 zilete figisu?Sasa figisu kwa akina NEWFORCE na RUNGWE EXPRESS zitaanza hivi karibuni , yale yale ya FASTJET !
kwani mlipoifukuza fastjet mlikuwa na ndege ngapi ?basi 10 zilete figisu?
Siasa zinatuathiri kisaikolojia
mwenyewe unaona umetoa PhD material na kudharau wengine 😁 😁
wanaongelea vifurushi vinavyopelekwa posta.. sio kila kifurushi boss..
Posta huwa wanasafirisha barua na vifurushi
nchi kama UJERUMANI ndio walianza kufanya hivyo mana tike tzao unazipata posta ila sasa wale ni wastarabu sana tu. Mnakumbuka shirika la posta liliwahi kuanzisha biashara ya Internet kila sehem ambapo posta ilikuwa inaptaikana, walichukura raundi ya maika mingapi? shirika la umma haliwezi kufanya biashara, biashara ya mabasi inatakiwa iwe biasahra ya mtu binafsi ndio unaweza, watu watapiga dili yatakosa spea yatapaki basi pesa hazionekaniMagari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
unaamini sana ushirikinakwani mlipoifukuza fastjet mlikuwa na ndege ngapi ?
Anayekula nyama ya mtu haachi - Nyerere
wanagari za mizigo...Sasa masuala ya logistics umeona wapi mabasi yanatumika?
Umewaza nilivyowazaSina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
wanapakia abiria na ku support mizigo yao..NAELEWA shida ni kwamba shirika litaingia katika hasara kutokana na gharama za uendeshaji hayo mabasi afadhali waendele kutumia magari yao madogo na mabasi ya abiri kama awali walikua wakilipa gharama ndogo wakija katika haya mabasi yao watalipia gharama kubwa kutokana na basi lao.ni.vifurushi tu wakati mabasi ya kawaida ni abiria vifurushi ni.ziada tu viwe visiwe basi.likipata.abiria.limeenda
wanagari za mizigo...
Business iko slow wanaongeza kipato kwa mabasi...
Yes... biashara ya barua huwezi kuboresha baada ya kuja social media na mabasi binafsi kubeba pesa, barua na vifurushi..Its a wrong strategy.
Waooreshe biashara yako na mazingira yake nchi nzima kwahiyohiyo fedha walonunulia mabasi.
Sasa hayo mabasi watataka kubeba na abiria?