Huo ujanja wa kula pesa
Kulikuwa na mashirika ya mabasi na malori hapa nchini yote yamefilisika tena kirahisi sana
Leo wanarudia yaleyale
Ni kweli jina baya au rangi mbaya ambayo haikutulia haiiti wateja. Rangi hii si ya kuvutia wateja waoga kama mimi…...ila Mungu awajalie wawe na wasimamizi wazuri sana.Yaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu 😃😄😅😂😁😁
oky haina shida wachaga hatutapanda hilo.ngoooo
Serikali hii inawaonea gere makampuni binafsi ya biashara na inatamani biashara zote zifanywe na serikali ila tu haina uwezo na imeshapigwa bao.
Kimefeli kabla ya kuanza.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Rangi ya nyonya damuNi kweli jina baya au rangi mbaya ambayo haikutulia haiiti wateja. Rangi hii si ya kuvutia wateja waoga kama mimi…...ila Mungu awajalie wawe na wasimamizi wazuri sana.
Ila uliamini habari ya Lisu kupewa bus huko Europe.Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Miaka ya nyuma waliwahi kuanzisha huduma hizi sijui yalifia wapiNimesahau kuweka jina la kampuni hii..
POST EXPRESS
namba zitaanza na SU xxxc
Kuliwahi kuwa na bus za posta na zilikuwa na rangi hiyo hiyoSina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
NIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Afadhali hiyo kuliko wangeweka kijani.Safi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!
Bado linaendeleahii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
Red & White
Ulitaka yawe ya njano?Safi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!