Shirika la umeme Zanzibar lagoma kuilipa TANESCO

Dawa ni serikali moja
 
Sisi watu wa Tanganyika hatuna faida yoyote na Zanzibar. Ni CCM tu wanakomalia historia uchwara ila Zanzibar ni mzigo kwaTanganyika.

Haiwezekani tunakuwa na wabunge wa Zanzibar ndani ya bunge la Tanganyika tunawalipa marupurupu yote ya ubunge wakati hawana faida yoyote kwetu. Hivi na yule Rais wa Zanzibar na kiserikali chake wana kazi gani? Nchi tunaiendesha kiusalama hakuna faida yoyote.
 
Account ya pamoja ya mapato (ya faida) ya nini wakati gharama za uendeshaji hawachangii chochote.....Na hata hiyo asilimia 4.5 hawastahili kabisa
 
Nyinyi kila mwisho wa wiki mnakuja Zanzibar kuwafata mabasha wenu tunawajua mnawekwa Mahotelini wanaume wazima mnaondoka boti za jumapili saa kumi ww nina shaka ni miongoni mwa hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu utakuja hapa kutaka kuvunja ndoa.

Tuliwaoa tarehe 26, April 1964.

Kwa Bahati nzuri washenga hawapo tena.

Ninyi ni Wake zetu, endeleeni kutuandalia urojorojo.

Hakuna talaka hapa. Hahahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu apambane na hali yake, na kila nchi ipambane na mambo yake. Zanzibar imesema haitalipa hata senti tano, TANESCO wanapaswa kuwazimia umeme mara moja. Hapo ndipo mbichi na mbivu zitajulikana. Hakuna haja ya kutishana na kuogopana.

Umeme watumie wazanzibar halafu watanganyika walipishwe, hiyo sio sawa. Upande wa pili, Serikali ya muungano idaiwe na Zanzibar halafu Zanzibar wakae kimya tu, hiyo sio sawa pia.
 
Duuh mikopo ya elimu ya juu bure? tena wengi kuliko watanganyika? are you serious? Kwanza tambua suala la elimu ya juu ni Muungano hivyo Wazanzibar wana haki ya kupata mikopo pia na wala sio ihsani au kuwa wanapewa bure ni mkopo. Mimi now nakatwa 15% of my salary, cjui unaposema bure unamaanisha nini. Ni kweli Zanzibar hawawezi kuhudumia jeshi la Tz sio siku tatu bali hata siku moja, kwanini iweze kuhudumia jeshi la Tz yote wakati sehemu yake ni ndogo tu. La muhimu ni kwamba Zanzibar ina uwezo wa kuhudumia jeshi lake lenyewe kama itajitenga coz itakuwa ni budget ndogo kulingana na ukubwa wa nchi. Na tambua hata baada ya Muungano Zanzibar ilikuwa na jeshi before merged. Mnakopa nyinyi kwa kivuli cha Muungano na kutekeleza miradi yenu mikubwa then why should Zanzibar bothers about the dept? Tunatoa taarifa kusudi kuwa hatutalipa umeme iki kufikisha habari ya kuwa Muungano hatuutakiiiii. Kama vipi kateni tu si mnao nyinyi huko.
 
Unadangaya mkuu, fafanua ni kwa namna gani wazanzibari wamebanwa na muungano, mbona hao wapemba ndio wamejaa huku bara wakifanya biashara zao??

Au wewe unatamaa tu ya madaraka hivyo unaona kama Muungano unakubana kudanganya wenzako??
Zanzibar haina uwezo wa kukopa wala kupata ruzuku sehemu yoyote duniani bila kupata ridhaa ya JMT, tatizo kubwa katika hoja hii Watanganyika hamtaki kuidhinisha zinapotokea fursa tajwa hapo juu: fuatilia sakata la bandari ya mpiga duri ya Zanzibar, Uwanja mpya wa ndege wa Zanzibar kwanini hadi sasa naandika haujamaliza, bara bara ya mkoani pemba just to mention a few. Zanzibar pia inanyimwa haki ya kufanya biashara ndani ya Tanzania, ni kwanini sukari inayozalishwa Zanzibar izuiwe kuuzwa Tanganyika, kwanini kunakuwa na double tax kwa bidhaa iliopitia Zanzibar mfano unapoagiza gari kutoka Dubai ikashuka bandari ya Zanzibar na baada ya kulipa kodi zote chini ya TRA kwanini inabidi ulipe tena ushuru kama ule unapojaribu kuisafirisha hiyo gari to Dar why?? Mbona unaposhusha Dar na ukajaribu kuleta Zanzibar haulipii tax mara mbili why?? Yapo mengi mkuu hapo hatujaongea kuhusu Tanganyika inavyochagua Raisi wa Zanzibar kwa mtutu wa bunduki.
 
kama mmebanwa mnasubiri nini kuuvunja mpk mchukie watu wasokua na hatia? mnapambana na mashine kisa unyonyaji wa mwenye mashine?
Tatizo kubwa Watanganyika mna jeshi na silaha nzito so haiwezekani kuuvunja kwa nguvu for the time being. Inawezekana kabisa kuuvunja huu Muungano kwa njia za amani only and only if Wazanzibar watakuwa kitu kimoja, unfortunately kwa sasa Zanzibar imegawika pande mbili wenye nia ya dhati ya mabadiliko na wachumia tumbo. Wachumia tumbo wamepewa power na Watanganyika purposely kuendelea kuitawala Zanzibar, wameekwa madarakani kwa nguvu ya jeshi, they are puppet leaders na hao ndio wanaotuumiza. Ila kama tungekuwa na power flani ya kijeshi aaah mbona tungekuwa tumetangana kitambo otherwise daily ingekuwa tunazika maiti tusingekubali abadani.
 
muungano unaendeshwa ki ccm..

na chama tawala kule ni ccm...ccm anagandamiza haki za ccm yenyewe

Upinzani ungetawala ningefikiri tofauti

hadi ccm itakapokuwa ilipo KANU au UNDP ya Zambia...

maana maccm wrote wanafanana tabia;ukimsikia Hamad Rashid au VP akiusifu muungano...hadi unaiona serikali moja palee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hizi ni dharau za kiunguja unguja wapemba hawana hayo mambo.
Tuwauzie Waitaly hiko kisiwa tubaki na Pemba
 
Jee unakijua chanzo cha huu muungano wetu adhimu?.
Kwa kukusaidia, aliyetaka muungano ni Karume tena ulikuwa uwe muungano wa nchi moja!. Nyerere ndiye alimkatalia.

Jee unaijua sababu ya muungano?.
Sababu ni Tanganyika kuipatia ulinzi. Baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, yalimg'oa Mwarabu na kuvirejesha visiwa hivyo kwa wenyewe Wamatumbi. Manowari ya Muingereza ilitia nanga bandari ya Mombasa, tayari kuivamia Zanzibar kuikomboa na kumrejesha Sultani aliyepinduliwa.

Ndipo Karume akaomba msaada wa ulinzi toka Tanganyika, the best way to do this ni kuungana fasta.

Tukakubali kuungana, tukaifuta utaifa wetu na kuusacrifice Tanganyika for Tanzania, hivyo muungano ukivunjika, Jamhuri ya watu wa Zanzibar inaweza kurejea, lakini Tanganyika haiwezi, ilikufa tukaizika, ndio maana tutaulinda muungano kwa gharama yoyote.
P
 
Huu muungano ni miongoni mwa mambo ya kipumbavu sana nimewahi kuyashuhudia maishani mwangu.

Anayenyonywa ndiye kamng'ang'ania mnyonyaji!!
 
Kitu ambacho watu tunashindwa kufahamu ni kuwa kituo cha kufufua umeme cha bonde la Mtera ni mali ya SMZ. Ndio jeuri inatokana na ukweli huo.

Siku itakayokatwa umeme Zanzibar siku ya pili yake Muungano ni historia.
Mtera iko Zanzibar? Halafu kila siku wanataka muungano ufe. Wana Resources za kujilinda?
 
Yes nao Watarudi tena wanatosha boti moja. Kazi ipo kwa Wazanzibar maana nusu wamekimbia wapo bara na ndilo eneo pekee duniani lenye Wznz wengi.

Ondokeni tu kwa amani, wale watanganyika nao tutawaambia warudi nyumbani .

unaijua idadi ya watanganyika walioko Zanzibar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…