D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
ina maana serikali ya zenji haina tena gawio?Wamenunuliwa na Tigo 100%
ina maana serikali ya zenji haina tena gawio?
Huku napata around 33 bro. Next time ntakuwekeaNimepiga hesabu, naona kama huku ndo bei zaidi au tuko sawa.
1% Ewura, 3% Rea na 18% Vat. Inabaki 7,800 kwenye 10,000. Unapata around 28. Nafikiri ni sawa. Maana tulikuwa tunapata around 58 kwa 20,000/=.
Huku napata around 33 bro. Next time ntakuwekea
ina maana serikali ya zenji haina tena gawio?
Tigo tu haozantel wamepoteza muelekeo kwenye bando....
1000 unapata MB 750 + mb 750
Eti Zanzibar na Pemba, hujui Zanzibar ni nini na PBA ni nini. Bogus kabisa.Katiba inatamka kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika.
Nikiwa Rais nitaibadili isomeke "Zanzibar na Pemba ni mikoa ya Tanganyika."
Kama ni urojo mtaruhusiwa kupika hizo rojo mahali popote. Lakini nchi hakika hamtapewa hata kwa dawa.

Vibaraka watawala wenu huko Zanzibar wanajua wanalindwa na wapo madarakani kwa nguvu ya bara. Ukiondoa bara mtakabidhiwa kwa machotara wanaomuunga mkono Sultani.Mbona kama wewe ndio UMESHUPAZA SHINGO wao wamesema tu kwa upole hawalipi mtalipana huko huko. Kama muna uwezo wa kuifanya Zanzibar kuwa mkoa si muzime umeme kwanza, munakwama wapi? Zimeni tu tutatumia vibatali na kandili in Dr Sheni's voice. Hata CCM pia huko Zanzibar washachoka wanatafuta sababu tu hili dude livunjike.
Unamkumbuka yule mtu aliye lia mbele ya TV ''Tutawasha vibatari'' teh teh .Hatung'oi nyaya abadan, mnakataa kutulipa tunayowadai sasa na Sisi tutautumia umeme kinguvu. Kama kweli mnajifanya vichwa maji hebu kateni umeme muone tutakachowafanya
Wasamehe mkuuUnamkumbuka yule mtu aliye lia mbele ya TV ''Tutawasha vibatari'' teh teh .
Mnatumia kwa nguvu kwa fedheha. Kuanzia BLW hadi mkiwa na wake zenu mnalipiwa bill na raia wa Mbagala.
Hii ni fedheha, acheni kuongelea aibu hii
Watoto wenu wanasomeshwa bure
Mishahara inatoka hazina-bure
Hamjui bajeti ya ulinzi, mambo ya ndani au nje au muungano
Wabunge wenu wanakuja Dodoma bure
Kazi za watu wenu mnapata bure
Bajeti yenu inalipiwa ruzuku na mtu wa Mkuranga-Bure
Umeme mnalipiwa bure mkiwa na wake zenu! shame on you. Hii ni fedheha
TBL wanalipa kodi na kuchangia mapato. Kariakoo wanalipa kodi na kuchangia mapato.
Ninyi SMZ manatumia umeme kustarehe na wake zenu kisha bill mnampelekea raia wa mlandizi. shame on you
Toeni nyaya za umeme mulete meli za Oman , tumechoka ipo siku mtaleta bill za mahari zenu za kuoa , msivyo na aibu viumbe ninyi
Hoja hizi zimeshapitwa na wakati zikitumika enzi za Mwalimu Nyerere.Vibaraka watawala wenu huko Zanzibar wanajua wanalindwa na wapo madarakani kwa nguvu ya bara. Ukiondoa bara mtakabidhiwa kwa machotara wanaomuunga mkono Sultani.
Wa zenji washaongea,umeme hawalipi na watanganyika wakiukata ndo na muungano umeisha.Mzee wa Tnyika aliropokaga eti wakate umeme alinuniwa na mzee wa Zenji akaufyata!! Tukiwaudhi tuu watadai kujitoa muunganoni na hugo rais ataingia kwenye historia mbaya sana ya kuuvunja muungano waainayake Afrika
Unajua madhara ya kulipiwa umeme! Salimin Komandoo alisema atakwenda Dodoma atarudi Zanzibar na ASP kama matakwa yake hayatatekelezwa. Alipotoka kwenye mkutano kila kitu kilikuwa upside down hata mbeba viatu.Wa zenji washaongea,umeme hawalipi na watanganyika wakiukata ndo na muungano umeisha.
Umeongea vizuri jee umewahipo kumsikia mzanzibari mwenye akili timamu aliye balekhe na kusema nitaulinda mungano mpaka tone LA mwisho LA damu munao ngangania mungano ni nynyi wauza sumu ya panya kabla yakungana na Tanganyika Zanzibar ilikuwepo na ilikua ni nchi huru na ilikua inajiweza kila kitu nchi ya mwanzo afrika masharika kua na TV ya rangi ni Zanzibar nchi ya mwanzo kua na bandari huru ni Zanzibar nchi za Kongo msumbiji Burundi Rwanda na ikiwemo Tanganyika ilikua mukija mukinunua biashara Zanzibar zinazo toka ulaya na uwarabuni usiongee udogo wa watu watu wanataka hali nchi ya Brunei ambayo inawatu laki nane lkn ni nchi iliyo huru na inajiendesha kwa mambo yake mwenyewe na wana kila kitu ambacho nisawa na nchi zenye watu milioni 45Asilimia 11 ya nini? Na kwa nini mpewe asilimia 11 ya chochote wakati uwiano wa idadi ya watu kati ya Zanzibar na Bara ni mdogo mno chini ya asilimia 3?
Wacha kusema uongo mzanzibar atoke huku kwenye marashi ya karafuu aje ajengee Dodoma kwenye kabila kubwa duniani la omba omba na ardhi yenye mawe kama barabara inayowekewe vifusiWangekuwa hawauhitaji,wasingekuwa wanakimbizana Dodoma,kununua viwanja na kuanzisha makazi,
Kuna sehemu inaitwa Oroa,Pongwe,mahoteli yote ya kitalii,yanapata mahitaji yao,ya vyakula kutok a bara
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaggghhhh nguruvi sasa hii ni mipasho tu kama ya kwenye taarabu and unfortunately ain't good on it.Unamkumbuka yule mtu aliye lia mbele ya TV ''Tutawasha vibatari'' teh teh .