Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

Mimi Kwa kweli wamenipa dhambi ya kuwacheka usiku huu🤣🤣🤣

Ila let's be honest, hivi huyo mwanamke umeishi nae vipi hadi anapata nguvu ya kunyanyua stuli akupige, ukute mume ndo ameanza kila siku vipigo anampiga mkewe, mwisho mke anachoka ananyanyua stuli.
Halafu wanaume Wasichojua ubabe na ukali hautunzi ndoa, mke ni sikio, mpe maneno matamu uone Kama atapata nguvu ya kunyanyua stuli🤣🤣🤣 udhaifu wa wanawake upo masikioni ( inabidi nianze kufunda na wanaume sasa Lamomy ), mwanamke hana tabia, tabia anaikuta kwa mumewe, sasa nyie mnataka mpige wake zenu msirudishiwe🤣🤣

Afu huyo mstaafu🤣🤣🤣 Nani asiyejua vibweka vya wastaafu...pension wanahongea, hawashikiki, ikiisha wanataka warudi kwa wake zao🤣🤣🤣
 
Hao ni beta males. Niliwahi zichapa na mkurya + mmasai nilivyokuwa O level.

Sitakagi ujinga kabisa 🤣🤣🤣. Acha hao mazezeta waendele kupigwa
 
Maajabu ya kichwa cha familia kugeuka mkia.
 
Stuka kaka hii ni michezo ya TISS kututoa mchezoni suala bandari. Vituko vitakuja vingi tu. Mara kuongeza makalio mara cjui nini upuuz mtupu.
 
Na hao ndio wa kutushauri Sisi tuoe ...labda tuoe mamba, kenge na mijusi inayokimbia mvu na kuingia mtoni.
We nawe unaamini hayo. Na pia mtu kupigwa na mkewe we yanakuhusu nini? Kifupi hao wanatafuta justification ya hiyo taasisi yao waliyoanzisha na ndio maana wameongea na kukuza hilo tatizo.

Kuhusu kupiga au kupigana kwenye ndoa ni wanandoa wasiojitambua malevi, mamalaya, mahuni na makahaba yaliyopitiliza ndio yanapigana japo umenisikitisha eti mtu mwingine kupigwa kwenye ndoa yake inakufanya wewe usitake kuoa. Hiyo kampeni yenu inajiokotezea sababu ili kuficha udhaifu wenu wa kiuchumi na kimwili. Nyie ni bado maskini mnajiokoteza na pia mnasema hamtaki kuoa ili mfanyaje? Muolewe nyie. Ebu jaribu kama Baba yako yupo hai, mueleze hutaki kuoa, uone reaction na majibu yake. Hata kama atajichekesha kwako ila moyoni mwake atakuwa na wasiwasi nawe. Huyu mwanangu anaweza kuwa "papai"
 
Stuka kaka hii ni michezo ya TISS kututoa mchezoni suala bandari. Vituko vitakuja vingi tu. Mara kuongeza makalio mara cjui nini upuuz mtupu.

Unataka kusema hao wanaume sio wakweli ?

Je hakuna wanaume kwenye ndoa wanaopitia hizo changamoto walizozisema
 
Hao umeme mdogo kichwani, sura zao zinaonyesha wanywaji wa visungura 🤣🤣😂
 
Unataka kusema hao wanaume sio wakweli ?

Je hakuna wanaume kwenye ndoa wanaopitia hizo changamoto walizozisema
Wapo mkuu na sio leo miaka yote. Swali ni kwanini leo?
 
Wazeee Wanachezea kichapo Hadi wanachiwa na makovu aiseé [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…