Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Tafadhali irudie ile comment yangu kwamba ana wamezesha wenzie matango pori 😁😁Kumbe ako na side chick 🤣🤣
Itakuwa ni slayqueen anampa headache mpaka anakuja kujifariji hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali irudie ile comment yangu kwamba ana wamezesha wenzie matango pori 😁😁Kumbe ako na side chick 🤣🤣
Itakuwa ni slayqueen anampa headache mpaka anakuja kujifariji hapa.
Nisha kuambia habari za huyo mtu sitaki, itaonekana sisi ni wagomvi🤒Mimi jibu la moja kwa moja sina labla nikuitie aliyependwa huyu amempangishia goba njia nne ni lovie🤨
Ina paswa iwe una niomba ruhusa, USI taje jina la shemeji yako ka una omba big g🤓
Walakum msaalam Zulu
Hata shule sija wahi kwendaUpo chuo mwaka wa ngapi?
Ruhusa gani unataka? Ng'ombe wa aftatu kabisa wewe.!Ina paswa iwe una niomba ruhusa, USI take jina la shemeji yako ka una omba big g🤓
Asante kwa kunishtua mapema.Tafadhali irudie ile comment yangu kwamba ana wamezesha wenzie matango pori 😁😁
Wakaku ndo nini 🤔, umbea una kufanya ushindwe itikia Salam vizuri🤒Wakakum msaalam Zulu
Nasikia jamaa akimpata mazi humu au basi😁😁😁Asante kwa kunishtua mapema.
Nimekosea😁😁😁Wakaku ndo nini 🤔, umbea una kufanya ushindwe itikia Salam vizuri🤒
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio hivyo jimbo liko wazi nakaribisha maombi😁😁😁😁🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Kwema mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe sema , linaweza kukukaba usiku hilo unalolizuia 😁Nasikia jamaa akimpata mazi humu au basi😁😁😁
Oya siku tuje twende golden fork pale🤓, I can't imagine u pimbi huu uwe wa keyboard tu🤣🤣Nasikia jamaa akimpata mazi humu au basi😁😁😁
Acha kiburi jimbo lipo mikononi kwa mwamba, haya ni maneno tu ,waswahili husema ata kwenye kanga yapo 😊Kwema mkuu
😁😁😁
Ndo wapi golden forkOya siku tuje twende golden fork pale🤓, I can't imagine u pimbi huu uwe wa keyboard tu🤣🤣