Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana jimbo liko wazi nakaribisha 😁😁Acha kiburi jimbo lipo mikononi kwa mwamba, haya ni maneno tu ,waswahili husema ata kwenywe kanga yapo 😊
Mkuu wewe si umesema hautaki kuhonga😁😁😁😁
Ubalozi wa Oman una pajua?,Ndo wapi golden fork
Shangaa na wewe ko mimi niwe mtoaji akuuuu🐒Mkuu wewe si umesema hautaki kuhonga😁😁😁😁
SipajuiUbalozi wa Oman una pajua?,
It pains me a lot, seeing ma big bro aki mipaka pilipili machoni.Ruhusa gani unataka? Ng'ombe wa aftatu kabisa wewe.!
Kutoa ni moyoShangaa na wewe ko mimi niwe mtoaji akuuuu🐒
Ulipo ubalozi wa marekani una pajua??, wana pakana na duka la gsmSipajui
We unaweza 😁Kutoa ni moyo
Ndio, hata hapa natoa😒We unaweza 😁
Mimj siishi dar kwa sasa nimetoka mda na hizo sehemu unanitajia sijuiUlipo ubalozi wa marekani una pajua??, wana pakana na duka la gsm
Aisee Leo ume jua kuni osha 😆Shangaa na wewe ko mimi niwe mtoaji akuuuu🐒
Danganya ma pimbi🤓🤣Mimj siishi dar kwa sasa nimetoka mda na hizo sehemu unanitajia sijui
Sawa ila mimi siwezi kwangu Mwanaume lazima anijali kuanzia kwenye unyayo mpaka kichwanii.Ndio, hata hapa natoa😒
Huyo "kijana pengine amepangisha room moja" anapambana na mbunyeAu sio?, endelea kujenga nyumba ya matope[emoji38]
Ume Anza kuiba kauli zangu🤓🤣, Niko nanjilinjiiMimj siishi dar kwa sasa nimetoka mda na hizo sehemu unanitajia sijui
Kwani ulimanisha kutoa nini? Nikajua ushauri😰Sawa ila mimi siwezi kwangu Mwanaume lazima anijali kuanzia kwenye unyayo mpaka kichwanii.