Tafadhali irudie ile comment yangu kwamba ana wamezesha wenzie matango pori ππKumbe ako na side chick π€£π€£
Itakuwa ni slayqueen anampa headache mpaka anakuja kujifariji hapa.
Chiz wewe π€£π€£
Nisha kuambia habari za huyo mtu sitaki, itaonekana sisi ni wagomviπ€Mimi jibu la moja kwa moja sina labla nikuitie aliyependwa huyu amempangishia goba njia nne ni lovieπ€¨
Ina paswa iwe una niomba ruhusa, USI taje jina la shemeji yako ka una omba big gπ€
Walakum msaalam Zulu
Hata shule sija wahi kwendaUpo chuo mwaka wa ngapi?
Ruhusa gani unataka? Ng'ombe wa aftatu kabisa wewe.!Ina paswa iwe una niomba ruhusa, USI take jina la shemeji yako ka una omba big gπ€
Asante kwa kunishtua mapema.Tafadhali irudie ile comment yangu kwamba ana wamezesha wenzie matango pori ππ
Wakaku ndo nini π€, umbea una kufanya ushindwe itikia Salam vizuriπ€Wakakum msaalam Zulu
Nasikia jamaa akimpata mazi humu au basiπππAsante kwa kunishtua mapema.
NimekoseaπππWakaku ndo nini π€, umbea una kufanya ushindwe itikia Salam vizuriπ€
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ndio hivyo jimbo liko wazi nakaribisha maombiππππππ½ββοΈππ½ββοΈ
Kwema mkuuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe sema , linaweza kukukaba usiku hilo unalolizuia πNasikia jamaa akimpata mazi humu au basiπππ
Oya siku tuje twende golden fork paleπ€, I can't imagine u pimbi huu uwe wa keyboard tuπ€£π€£Nasikia jamaa akimpata mazi humu au basiπππ
Acha kiburi jimbo lipo mikononi kwa mwamba, haya ni maneno tu ,waswahili husema ata kwenye kanga yapo πKwema mkuu
πππ
Ndo wapi golden forkOya siku tuje twende golden fork paleπ€, I can't imagine u pimbi huu uwe wa keyboard tuπ€£π€£