Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Hii thread imeandiliwa kwa dhana ya ubaguzi,

siku zote unafanya kinacho wezekana katika maisha yako

usiangalie huyu au yule Aishi vipi

kama kipato chako kinaruhusu kwanini usitoe fedha kuhudumia

kutoa ni moyo na sadaka ukitoa utapata kwa zaidi, kila mmoja na anavyo amini
 
Utalia kama suti bega wa sinza πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Demu yeyote yule duniani lazima ucheze na akili yake hata uwe bilionea vipi muulize bill gates na kina warren buffet kuhusu wake zao 😁😁😁😁🀣🀣🀣🀣
Umetaja mke.hapa tunajadili hawa mademu tunaowalisha samaki samaki na outfit za maana wakati ni "mademu" wasio na potential ya kuwa mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…