Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Unataka kumuhudumia Mama yako, kwani hilo si ni Jukumu la Mzee wako, mbona unataka kuingilia majukumu ya watu.

Wewe una Jukumu la msingi la kumhudumia na Kumtunza Mpenzi/Mke wako Siku zote wakati nawe anakupa tuzo ya kukuzalia watoto wakike na kiume kadri mtakavyo jaaliwa 🤗
 
Mkubwa hapo ume zungumzia mke, sisi tuna wazungumzia madem- a.k.a saccoss ya kuji tegemea, 🤓😆
 
Bibi ni mkeo, so tumia kikamilifu. Ila Kumbuka habari za 50/50 zisi kupoteze🤓😆
Ndoa bila kutumia ubabe kidogo wa kikanda ya Ziwa lazima ikushinde.

Utafunga Ndoa January ikifika April Ndoa imevunjika

Hayo mambo ya 50/50 endeleeni nayo Vijana, sisi Wazee Wacha tumalizie umri wetu uliobaki hapa Duniani Kwa kuishi tulivyozoea🤗
 
Dah hayo mambo ya 50/50 labda huko daslam 😆.

Na kingine mi kataa ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…