Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Asante kwa kutukumbusha mkuu. Ila sasa unataka tuto.mbe mtungi wa gesi? Wao ndio wanatupa utelezi lazima tutoe japo kidogo kuendelea kupata utelezi
Mkuu tafuta aliye na potential kwako, Kuna wadada wako vizuri mno.

Sio hizi saccoss au redio za kuji tegemea🤓
 
mwanamke lazima ahudumiwe, hiyo ni nature, tena kabla hajaomba unatakiwa ujue kua mwenza wako anashida fulani.

Kama huhudumii utasaidia na watu waliotayari kuhudumia
Mchumba hapaswi kuhudumiwa kabisa kwanza huwezi jua kawapanga wangapi Wanawake hawana shukrani bro labda kama unapesa za kuchezea honga sana
 
Back
Top Bottom