Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #81
Hebu fanya kuzila hizo chipsi, Kisha endelea na mambo mengine🤓😆Hapa ngoja nikaongee na shemeji yenu kanambia niende na chips
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu fanya kuzila hizo chipsi, Kisha endelea na mambo mengine🤓😆Hapa ngoja nikaongee na shemeji yenu kanambia niende na chips
Bwashe chips ni tupesa tudogo tu kumbuka kesho jmos na keshokutwa jpiliHebu fanya kuzila hizo chipsi, Kisha endelea na mambo mengine🤓😆
2k ×30 = 60k 🤓, kaa kimastaBwashe chips ni tupesa tudogo tu kumbuka kesho jmos na keshokutwa jpili
Nan kakwambia naenda kila siku2k ×30 = 60k 🤓, kaa kimasta
Mi nawa shitua tu😆, wakae kimasta 🤣Uzee huu 😂😂kumbe wewe ndo muanzisha mada
Duuh una madini matamu mwanangu, mwenye kuona na ajionee na mwenye kusikia na asikie, Mimi stakagi kuhonga Dem eti kisa utelezi au penzi, siku akiwashwa atajileta mwenyewe tuuuVijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi.
Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati.
Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana.
Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake. Hautasonga mbeleMungu hatakubariki kwa kile unachofanya.
Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?Ulikutana nae mitaani?Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu.
You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.Ni bora mkewako akuulize kwamna"what have you ever done for me?"Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawata zikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary, Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.Usilipe ada zake Usimlipie kodi.Ngoja nikuambie.Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayo yapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.Wewe ndiye utamlisha.Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako.
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kukaziwa, Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi.
I mean no malice to nobody!
View attachment 2928505
Tufanye 15 days × 2k bado ni 30k. Kaa kimasta 🤓Nan kakwambia naenda kila siku
Pamoja sana, tuna shituana ili tukae kimasta🤓.Duuh una madini matamu mwanangu, mwenye kuona na ajionee na mwenye kusikia na asikie, Mimi stakagi kuhonga Dem eti kisa utelezi au penzi, siku akiwashwa atajileta mwenyewe tuuu
Toto ya wenyewe Ina nenepa Kama buffalo au hippopotamus 🤓.I've got a fiver kwa pocket na namtumia bibi ako a deuce hivyo nabakiwa na 3 ,acha animalize tu maana ndio nimemchagua.
Jogoo sio kesi kwangu hata tembele huwa tunatafuna .
Wewe hudumia sisi tunakula, ndo nyie mnajinyongaga sababu ya uboya wenu, unajikita wewe ndo baba yake siku ukigundua wahuni tuna mla Tena pande zote kama samaki ndo mnaishiaga kujitundika kiboyamwanamke lazima ahudumiwe, hiyo ni nature, tena kabla hajaomba unatakiwa ujue kua mwenza wako anashida fulani.
Kama huhudumii utasaidia na watu waliotayari kuhudumia
wanaendekeza biashara ya mapenzi sio, ni mbaya sana 🐒Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi.
Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati.
Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana.
Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake. Hautasonga mbeleMungu hatakubariki kwa kile unachofanya.
Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?Ulikutana nae mitaani?Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu.
You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.Ni bora mkewako akuulize kwamna"what have you ever done for me?"Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawata zikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary, Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.Usilipe ada zake Usimlipie kodi.Ngoja nikuambie.Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayo yapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.Wewe ndiye utamlisha.Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako.
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kukaziwa, Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi.
I mean no malice to nobody!
View attachment 2928505
Naam watakuelewa tu comrade, tukae kimasta🤓wanaendekeza biashara ya mapenzi sio, ni mbaya sana 🐒
wasipostuka mapema....
watajipata vichocheo vya mapenzi hawana, nguvu za kijinsia zimewaishia , umri umeenda, na pesa zimekweisha wanaishia umaskini wa kutupwa na hawapendeki kwa yeyote tena dah!🐒
hurumaeee 🐒
Yeah ananona na huu umasikini wangu bado najitahidi.Toto ya wenyewe Ina nenepa Kama buffalo au hippopotamus 🤓.
Brazee una kaa ka nguzo au kuni iliyo chanjwa🤣🤓
Huyo wakili wa saccoss au redio za kuji tegemea 🤓.Wewe hudumia sisi tunakula, ndo nyie mnajinyongaga sababu ya uboya wenu, unajikita wewe ndo baba yake siku ukigundua wahuni tuna mla Tena pande zote kama samaki ndo mnaishiaga kujitundika kiboya
👊pamoja sana Ndugu mtoa hoja 🐒Naam watakuelewa tu comrade, tukae kimasta🤓
Why usi save hizo vichenchi ufanye ka kitu muzuri!?.Yeah ananona na huu umasikini wangu bado najitahidi.
Hapo mwisho sijaelewa .😅
Naam 💪👊pamoja sana Ndugu mtoa hoja 🐒
Hongera mkuu na kheri kwakoMi toka Mwaka Jana, sikumbuki kutumia she yoyote pesa 🤓