Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeamua kukaa kitaalamu 😂Maana naijua hiyo sentesi ni hovyo 😂, so Wana hatu snitch
Mbona machozi tena 😆, akiwa na potential ruksa bhana🤓Hapa nachukua 📝 tu!😰
Sawa sawa.Waki mpata aliye na potential, waishi nae kiroho Safi.
We miyeyusho mwanangu 🤣, nilivyo ona comment nika jua kimewaka 😆🤓Umeamua kukaa kitaalamu 😂
Sawa sim tankSawa sawa.
This goes to both, man and womanMchumba hapaswi kuhudumiwa kabisa kwanza huwezi jua kawapanga wangapi Wanawake hawana shukrani bro labda kama unapesa za kuchezea honga sana
I've got a fiver kwa pocket na namtumia bibi ako a deuce hivyo nabakiwa na 3 ,acha animalize tu maana ndio nimemchagua.Endelea kutumia ka kitu kakubwa toto ya wenyewe.
Last time wewe kula jogoo 2, nadhani ni mpaka jua lishuke😆🤓
Wajinga ndio waliwao. Mimi siwezi fikia stage ya kugeuzwa ATM ila siwezi kuwa muongo hela natoa kwa wastani kulingana na kipato changuKaka wa potential ana jitambua, na hata wewe utaona sio mbaya kufanya hivyo.
Ila isiwe Kama ni marejesho ya benki bhana.
Una ujumbe mzuri, ila unakosea kusema tuwasaidie ndugu pesa ya mpenzi,Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi.
Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati.
Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana.
Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake. Hautasonga mbeleMungu hatakubariki kwa kile unachofanya.
Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?Ulikutana nae mitaani?Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu.
You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.Ni bora mkewako akuulize kwamna"what have you ever done for me?"Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawata zikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary, Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.Usilipe ada zake Usimlipie kodi.Ngoja nikuambie.Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayo yapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.Wewe ndiye utamlisha.Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako.
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kukaziwa, Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi.
I mean no malice to nobody!
View attachment 2928505
Nawasikiliza sina maneno nao kabisa doc.Acha uchokozi. Lakionaires wana hoja, wasikilizwe!
Uko sahihi mkubwa, nime kusoma 🙏💪Una ujumbe mzuri, ila unakosea kusema tuwasaidie ndugu pesa ya mpenzi,
Kila mtu ana nafasi yake, kuna pesa ya ndugu na pesa ya mapenz, shauri vijana wawe makin na pesa ila usiwaelekeze kwa kutuma, hao ndugu wenyewe ni nyoka tupu
Kwasababu nyie ni wachonganishi.Mbona machozi tena 😆, akiwa na potential ruksa bhana🤓
Mi toka Mwaka Jana, sikumbuki kutumia she yoyote pesa 🤓Wajinga ndio waliwao. Mimi siwezi fikia stage ya kugeuzwa ATM ila siwezi kuwa muongo hela natoa kwa wastani kulingana na kipato changu
😹😹😹 Unamjua Flaviana Matata?Sawa sim tank
Amna ni ushauri tu, kila mmoja ana umuhimu.Kwasababu nyie ni wachonganishi.
Mnafanya/sababisha kuwe na power struggle kati ya mama na mamii tokea mwanzo alafu mnarudi kusema wanawake hatupendani.😏
Yap, SI yule balozi wa mataulo ya kike🤓😹😹😹 Unamjua Flaviana Matata?
Pamoja sana arifu🤓🤒Ukweli unauma aise umeongea point sana hapa, wengi wamekuelewa hata wale watakaokubeza ndani yao wanajua kabisa umesema ukweli kwa faida yao