Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Akiwa na potential, kumgea angalau theluthi ya 000.01 sio mbaya🤓.

We spot out hata kijapani, una sahau siku ile uli kimbia🤓🤓
Kila mwanamke ana potential kwa mtu sahihi,si lazima akupee pesa,awe na akili ya maendeleo..ila anaweza kuwa potential tu kwa maumbile yake yakakupa nguvu ya kutafuta zaidi,sauti yake ikaleta amani ya moyo na ubongo hivyo itapelekea amani nafsini mwako hata kama hauna pesa,heshima yake kwa elimu ndogo aliyonayo hata kama hana elimu kubwa ikakupa nguvu ya kutafuta na kumuwezesha zaidi,

Tabasamu lake tu pale hata kama siku hiyo hujarudi na kitenge yake/hujamletea mascara,necklaces ukajihisi umefika kwa Mungu baba mbinguni umeketi na malaika wa pekee uliyekabidhiwa kwa ajili yako pekee.

.......Wait nipokee simu ya bibi ako na nafahamu hapa ataniambia "usisahau kusali hapo ulipo na mimi nakuombea afya njema"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…