SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Ninavyompenda yule mtu, nitaweza vipi kumtesa?
Jamani oeni na kuolewa na watu wanaowapenda, haya mambo ya kulazimisha mapenzi ndio watu wanafikia huku.

Huwezi kumfanyia ukatili mtu unayempenda.
Umeongea kitu kikubwa sana mrembo, na kila mmoja anapaswa kuzingatia. Ni lazima kuingia mapenzini kwa sababu za mapenzi tu, siyo vitu vya pembeni.

Mapenzi ya sababu ya ziada huwa hayadumu baada ya sababu za ziada kumaliza muda wake. Mfano uingie mapenzini kwa kumkomoa mtu, ni lazima anayekomolewa akikomoka, basi mapenzi yameisha.

Ova
 
Na yanaishaga vibaya ya hivyo? Sababu hayakuwa na msingi wa mapenzi.
 
Back
Top Bottom