SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Ninavyompenda yule mtu, nitaweza vipi kumtesa?
Jamani oeni na kuolewa na watu wanaowapenda, haya mambo ya kulazimisha mapenzi ndio watu wanafikia huku.

Huwezi kumfanyia ukatili mtu unayempenda.
 
Watu hubadilika pia lakin sijui chanzo ni nn yaani unaanzaje kumpiga mumeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…