Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nakaa nangoja nini kwa masikini jeuri?? Mamdogo hakuna mkate mgumu ndani ya chai..!! Makelele yote ya mkate mara sijui kwa juu mgumu, ukiingizwa tu chaini, uzito wa chai pekee unaumega mkate.hujakutana na maskini jeuri bamdogo